Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU MSTAAFU CLEOPA MSUYA ASTAAFU SIASA ,JK AMPONGEZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akiwa viongozi wengine wakuu wa serikali chama cha Mapinduzi CCM, akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana (kushoto) katika hafla ya kumuaga aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania mara mbili katika awamu mbili tofauti, Mzee Cleopa David Msuya (wa kwanza kulia kwa Rais) ambaye amestaafu rasmi siasa baada ya kuitumikia kwa zaidi ya miaka 33.  Katibu wa CCM, wilaya ya Mwanga, akisoma historia fupi ya Mzee Msuya kabla...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS JK AWAJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU CLEOPA DAVID MSUYA NA WAZIRI HAROUN ALI SULEIMAN

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu Msaafu Mzee Cleopa David Msuya aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jana jijini Dar es Salaam. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Waziri wa nchi Afisi ya Rais Kazi…

 

11 years ago

Habarileo

Cleopa Msuya aacha siasa

RAIS Jakaya Kikwete juzi aliongoza mamia ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Kilimanjaro, katika sherehe za kumuaga aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, Cleopa Msuya, baada ya kutangaza kustaafu siasa.

 

10 years ago

Dewji Blog

IGP Mstaafu Philemoni Mgaya asherehekea miaka 85 ya kuzaliwa kwake huku Waziri Mkuu mstaafu Msuya akiwaasa watanzania

Na Mwandishi wetu

WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya amewaomba watanzania  kuwa na tabia ya utii wa sheria, uaminifu na uadilifu katika nafasi zao wanazozitumukia katika Taifa la Tanzania.

Msuya aliyasema hayo katika sherehe ye kuadhimisha miaka 85 ya kuzaliwa ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Philemoni Mgaya iliyofanyika katika Hotel ya Protea , Court Yard jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mstaafu alieleza kuwa tabia aliyoionyesha Mgaya wakati wa utumishi wake serikalini...

 

11 years ago

Mwananchi

Cleopa Msuya alazwa Muhimbili

Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

 

10 years ago

Michuzi

Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe Edward LowassaMsemaji wa Waziri Mkuu Mstaafu  Mhe. Edward Lowassa,  Bw. Aboubakary Liongo---- Ofisi ya mbunge na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana ilikanusha vikali uvumi uliozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mbunge huyo wa Monduli amelazwa nchini Ujerumani.

Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Cleopa Msuya, Ali Suleiman waruhusiwa MNH

 Waziri Mkuu Mstaafu katika vipindi tofauti, Cleopa Msuya (84), ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alipokuwa amelazwa, baada ya afya yake kuimarika.

 

10 years ago

Michuzi

IN MEMORIAM: 10TH ANNIVERSARY OF THE PASSING OF OUR BELOVED GEOFFREY CLEOPA MSUYA

Ten years have passed since you left us for eternal glory.
You may be physically gone, but you are forever treasured in our hearts and memories.
As we remember you today; we keep on thanking the Almighty God for the life we shared with you.
Always remembered and deeply missed by your father Mzee CD Msuya; wife Mary; sons Ngazo and Rumisha; sisters Joyce and Naanjela; brothers George, John, and Job; mother-in-law, sisters-in-law; brothers-in-law, nieces, nephews, relatives, and friends.
MAY...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MSTAAFU AMKABIDHI RASMI OFISI WAZIRI MKUU MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimkaribisha  Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda  ambaye Novemba 30,2015 alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kukabidhi Ofisi.  Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo  Pinda ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015 kukabidhi Ofisi.  Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda wakimsikiliza  Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani