Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU: SERIKALI KUOMBA MKOPO POLAND



PG4A6900*Ni wa kujenga maghala makubwa ya kuhifadhia chakula.
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kupata mkopo wenye masharti nafuu kutoka Serikali ya Poland utakaoliongezea Taifa uwezo wa kuhifadhi chakula tofauti na hali ilivyo sasa.
Alisema uzalishaji mwaka huu umetoa ziada ya tani milioni 1.5 za nafaka na tani 800,000 za mpunga ikilinganishwa na ziada ya tani 300,000...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUOMBA MKOPO POLAND - WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kupata mkopo wenye masharti nafuu kutoka Serikali ya Poland utakaoliongezea Taifa uwezo wa kuhifadhi chakula tofauti na hali ilivyo sasa.
Alisema uzalishaji mwaka huu umetoa ziada ya tani milioni 1.5 za nafaka na tani 800,000 za mpunga ikilinganishwa na ziada ya tani 300,000 iliyokuwepo mwaka jana. “Serikali inakabiliwa na changamoto ya kupata soko la uhakika kwa mazao ya wakulima kwa sababu tulizoea kumtumia Wakala wa Hifadhi...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAWEKEZAJI NCHINI POLAND

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil, Bw. NICODEMO SWIACKI (kushoto) akiwasilisha mada kuhusu kampuni yao ambayo inataka kuwekeza Tanzania kwenye kiwanda cha kusafisha dhahabu na ujenzi wa hoteli ya kimataifa huko Zanzibar. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Mahadhi Juma Maalim na Naibu Waziri wa Fedha, Bw. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilusha mawazo na viongozi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil baada ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda akutana na Balozi wa Poland

PG4A5670

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Balozi wa Poland nchini, Mhe. Marek Ziolkowskoi kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Oktoba 13, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO POLAND

  Baadhi ya Watanzania waishio Poland wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) wakati alipokutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu.    Mmoja wa Watanzania waishio Poland wakiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara baada ya kukutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu. (Picha na Irene Bwire wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda alipokutana na Watanzania waishio Poland

120100

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Watanzania waishio Poland (WAPO), Bw. Steven Sambali mara baada ya kukutana nao na kuwaeleza mambo yanayoendelea nyumbani Tanzania. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu.

120056

Mmoja wa Watanzania waishio Poland wakiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara baada ya kukutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu. (Picha na Irene Bwire wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio ya ziara ya Waziri Mkuu Pinda nchini Poland

PG4A6721

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya kuwasili jijini  Warsaw kwa ziara ya kikazi  Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6747

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland  jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6758

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA KIWANDA CHA TREKTA POLAND



WAZIRI MKUU Mizengo Pinda atatuma wataalamu wa sekta ya kilimo ili waje kufuatilia suala la mahitaji ya trekta ili kuziba pengo la mahitaji yake nchini Tanzania.


Alisema lengo la Serikali la kuanzisha sera ya Kilimo Kwanza lilikuwa ni kuwasaidia wakulima kupata ruzuku ya pembejeo, mbegu bora, na dawa za mifugo ili waweze kuongeza ushalishaji.


“Kutokana na mkopo wa Serikali ya India, tulipata matrekta 1,846 ambayo hayakuchukua muda kuisha. Sasa hivi tunatafuta wabia wengine wa kutupatia...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI, PIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA CONTRACTUS YA POLAND

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na balozi wa Kuwait nchini, Mhe Jaseem Al Najem kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 9, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na balozi wa Kuwait nchini, Mhe. Jaseem Al Najem, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 9, 2015. Katikati ni Ofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA MAGHALA YA CHAKULA KIZOTA DODOMA: Mwekezaji wa Poland asema wataanza kujenga Januari, mwakani

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bw. Witold Karczewski (kulia) ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Mlynpol ya Poland ambayo ina nia ya kujenga maghala ya kisasa ya kuhifadhi nafaka katika kanda hapa nchini wakati alipokagua maghala ya SGR mjini Dodoma Novemba 6, 2014 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana  na Bw. Witold Karczewski (kulia) ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Mlynpol ya Poland ambayo ina nia ya kujenga maghala ya kisasa ya kuhifadhi nafaka katika kanda hapa nchini wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani