Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuya aonya ongezeko pato la taifa

Mizengo PindaWAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya amezindua usambazaji wa takwimu zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio (hesabu) wa 2007 na kueleza kuwa pato la taifa kwa mwaka lilikuwa kwa Sh trilioni 26.8 ukilinganishwa na Sh trilioni 20.9 za mwaka 2001.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yazindua rasmi usambazaji takwimu za pato la taifa, pato la mwanachi laongezeka

Takwimu -1

Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007  jijini Dar es salaam.

Na Aron Msigwa – MAELEZO

Serikali imesema kuwa Pato la Taifa kwa mwaka 2007 limeongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 26.8  ikilinganishwa na trilioni 20.9 za mwaka 2001, ambapo wastani wa pato la mwananchi mmoja mmoja limeongezeka kutoka shilingi milioni1,186,200/= mwaka 2001 hadi shilingi milioni 1, 561,050/= mwaka 2013. 

 Akizindua...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA

Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 leo jijini Dar es salaam. Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (kulia) akimkabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servicius Likwelile chapisho la lenye Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 wakati wa uzinduzi wa usambazaji wa takwimu hizo leo jijini Dar es salaam.
BOFYA HAPA KWA HABARI NA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU WA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA.

unnamed Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 leo jijini Dar es salaam. unnamed1 Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (kulia) akimkabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servicius Likwelile chapisho la lenye Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 wakati wa uzinduzi wa usambazaji wa takwimu hizo leo jijini Dar es salaam. unnamed2Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu...

 

5 years ago

Michuzi

PATO LA TAIFA LITOKANALO NA KILIMO LAPAA, LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 17-WAZIRI HASUNGA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati wa kukabidhi matrekta kwa wakulima wanaokopeshwa na Mfuko wa Pembejeo za Kilimo (AGITF) katika Mji mdogo wa Kibaigwa Mkoani Dodoma, leo tarehe 23 Mei 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Spika wa Bunge la Tanzania Mhe Job Ndugai akisisitiza jambo wakati wa kukabidhi matrekta kwa wakulima wanaokopeshwa na Mfuko wa Pembejeo za Kilimo (AGITF) katika Mji mdogo wa Kibaigwa Mkoani Dodoma, leo tarehe 23 Mei 2020. 

 

5 years ago

Michuzi

SEKTA YA MADINI KUCHANGIA ASILIMIA 10 YA PATO LA TAIFA IFIKAPO 2025-WAZIRI MKUU KAASIM MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Utoaji wa Cheti cha Uhalisia kwa Madini ya Bati kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Februari 23, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha cheti baada ya kuzindua utoaji wa cheti cha uhalisia kwa Madini ya Bati kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Februari 23, 2020. Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai, wa pili kushoto ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Saada Mkuya aonya ‘wanaopika’ takwimu

>Serikali imetoa wito kwa mashirika na wadau wa maendeleo nchini kupuuza takwimu zinazotolewa na baadhi ya mitandao ya kijamii, badala yake wafuate zile zinazotolewa na ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kuwa zimefanyiwa utafiti na zinatambulika kisheria.

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa Francis aonya kuhusu ongezeko la joto

Papa Francis amesema ni jambo la aibu kama viongozi wa dunia hawatafikia muafaka juu ya namna ya kupambana ongezeko la joto duniani.

 

9 years ago

Vijimambo

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) YASEMA PATO LA TAIFA LIMEONGEZA KWA AILIMIA 7.9

 Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Morrice Oyuke (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa za pato la taifa robo ya pili ya mwaka kuanzia mwezi Aprili hadi Juni 2015. Kushoto ni Meneja Takwimu za Pato la Taifa, Daniel Masolwa. Mkutano na waandishi wa habari ukiendelea.
 Waandishi wa habari wakichukua taarifa hiyo.Wapiga picha wakichukua picha katika mkutano huo.

Na Dotto MwaibaleOFISI ya Taifa ya...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) YASEMA PATO LA TAIFA LIMEONGEZA KWA ASILIMIA 7.9

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morrice Oyuke akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam juu ya pato la Taifa kutokana na shughuli za Uchimbaji Madini, Mawe na Kokoto ziliongezeka kwa kasi ya asilimia 8.3 katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2015 ikilinganishwa na kasi ya ukuaji wa asilimia 6.4 katika kipindi kama hicho mwaka 2014. Kushoto ni Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa Daniel Masolwa.Waandishi wa habari wakimsiliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani