Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mukangara azindua rasmi mashindano maalum shule za sekondari Dar

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara akipiga penati  na kumpeleka siko  Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim kuashiria ufunguzi rasmi wa mashindano maalum kwa shule za sekondari mkoa wa Dar es Salaam. Kampuni ya simu ya Vodacom ndio wadhamini wakuu wa mashindano hayo yanayotimua vumbi kuanzia katika viwanja tofauti vitatu kwa kila wilaya kuanzia tarehe 8 mpaka 23 ya mwezi Februari. Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAZIRI WA VIWANDA ABDALA KIGODA AZINDUA RASMI MASHINDANO YA MAGARI DAR

Mgeni rasmi akisaini kitabu katika banda la TRA. …akikagua moja ya banda lililopo katika maonyesho hayo.…

 

10 years ago

Michuzi

JK mgeni rasmi mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari Jumuiya ya Afrika Mashariki

 Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki(FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa mashindano hayo yanayotarajiwa kuanza tarehe 22 na kuzinduliwa rasmi tarehe 24 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.  Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TAMISEMI Jumanne Sagini, Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Fenella Mukangara akabidhi vifaa vya Michezo kwa Shule za Sekondari jijini Dar leo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo mmoja wa wanafunzi waliowakilisha shule zao katika hafla hiyo leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni ya Vodacom Salum Mwalimu. Meneja Uhusiano wa Vodacom Salum Mwalimu(kushoto) akimkabidhi hundi ya mfano yenye thamani ya shilingi Milioni moja...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA WAMA SHARAF HUKO LINDI


 Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiondoa kitambaa kwa kushirikiana na Bwana Ibrahim Sharaf aliyefadhili ujenzi wa Shule ya Wasichana ya WAMA Sharaf ikiwa ni ishara ya kuizindua rasmi. Baadaye Rais Dkt. Kikwete akishirikiana na viongozi wengine walisaidia ujenzi wa shule hiyo kukata utepe ikiwa ni mwendelezo wa sherehe za ufunguzi rasmi wa shule hiyo huko Lindi tarehe 11.10.2015. Rais Dkt. Jakaya Kikwete akitoa tunzo maalum kwa Kampuni ya Sharaf Group ya Dubai kwa msaada wao wa kujenga shule hiyo...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI NDALICHAKO AAHIDI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WABUNGE UJENZI WA SHULE MAALUM YA SEKONDARI WASICHANA JIJINI DODOMA.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kuunga mkono juhudi za wabunge katika ujenzi wa shule maalum ya Sekondari ya wasichana inayojengwa katika Kata ya Kikombo wilayani Chamwino, Mkoani Dodoma na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Profesa Ndalichako ametoa ahadi hiyo alipotembelea shule hiyo akiongozana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai ili kujionea maendeleo ya ujenzi huo ambapo amesema Wizara itatoa mchango...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikiwete azindua Sera ya Elimu,Afungua maabara Shule ya Sekondari ya kata,Kipawa jijini Dar

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 katika hafla iliyofanyika katika shule ya sekondari Majani ya Chai, Kipawa jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa elimu na ufundi Kassim Majaliwa wakiangalia jaribio la Sayansi lililokuwa...

 

10 years ago

GPL

SHULE YA SEKONDARI KINYEREZI TABATA JIJINI DAR ES SALAAM YAUNGANISHIWA VIFAA MAALUM VYA KUJIFUNZIA MASOMO KUPITIA KOMPYUTA

Mkuu wa taasisi ya Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto) akishirikiana na wasimamizi wa mradi wa kompyuta mashuleni Meelis Kuuskler (katikati) pamoja na Julius Giabe kuunganisha kifaa cha kujifunzia masomo  kupitia kompyuta  katika shule ya sekondari Kinyerezi  ya Tabata jijini Dar es Salaam.  Mradi huo unaendeshwa na Learning In Sync  chini ya Vodacom Foundation.… ...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MUKANGARA KUFUNGA MASHINDANO YA PROIN WOMEN TAIFA CUP

Hatimaye fainali ya Proin Women Taifa Cup itafanyika leo katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi kwa kuzikutanisha timu za Pwani na Temeke huku Mshindi wa Kwanza katika Michuano hiyo ataondoka na Kitita cha Shilingi za Kitanzania Milioni 3 huku mshindi wa Pili akiondoka na Milioni 1 na Mshindi wa Tatu akiondoka na Kitita cha Milioni 1.
Mashindano ya Women Taifa Cup ni mashindano ya kwanza kufanyika Nchini Tanzania huku yakiwa...

 

5 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA KAIZEN KUFANYIKA JIJINI DAR, WAZIRI WA VIWANDA MGENI RASMI

Mkufunzi Mkuu wa KAIZEN (AKT) kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara, Jane Lyatuu akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa mafunzo ya mfumo wa KAIZEN jijini Dar es Salaam leo.
MASHINDANO ya nne ya KAIZEN kufanyika jijini Dar es Salaam huku mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Wizara ya Viwanda na biashara, Innocent Bashungwa.
Mashindano ya KAIZEN kwa hapa nchini yamekuwa yakifanyika kila mwaka ifikapo Februali, 18, kwa mwaka huu yanalengo la kubadilishana uzoefu na kuhamasisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani