Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mwandosya atembelea makumbusho ya Genocide nchini Rwanda

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais asie na Wizara Maalum,Mh. Mark Mwandosya (wa pili kushoto) akiambatana na Mkewe Mama Lucy Mwandosya (pili kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mh. Francis Mwaipaja (kushoto) na Mkewe Mama Mwaipaja,wakati Waziri Mwandosya alipotembelea makumbusho ya Genocide ya Rwanda (yaliyotokea Mwaka 1994). Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais asie na Wizara Maalum,Mh. Mark Mwandosya (wa pili kushoto) akiambatana na Mkewe Mama Lucy...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

profesa mwandosya atembelea rwanda

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mhe.Prof.Mark J.Mwandosya akizungumza na Mawaziri wa Rwanda.Kutoka kulia ni waziri ofisi ya Rais Mhe.Venantie Tugireyezo, Waziri wa mambo ya nje Mhe.Louise Mushikiwabo pamoja na kaimu balozi wa Tanzania nchini Rwanda Bw. Francis Mwaipaja

 

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Maliasili na Utalii atembelea Makumbusho ya Taifa

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt Hamis Kigwangala akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt. Noel Lwoga alipotembelea Makumbusho ya Taifa leoWaziri wa Maliasili na Utalii akitembea katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa kulia kwake ni Balozi wa Finland nchini Tanzania Mhe. Riitta Swan, kushoto kwake ni Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Mwandosya atembelea Benki ya CRDB nchini Burundi

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya (wa tatu kushoto) akimsikiliza kwa makini Meneja Mkuu wa Benki ya CRDB tawi la Burundi,Bruce Mwile (kulia) wakati alipotembelea Makao Makuu ya CRDB yaliopo mjini Bujumbura,nchini Burundi.Wengine pichani toka kushoto ni Bi. Muna Mahanyu,Mkurugenzi wa Sheria EWURA,na Ndugu Elias Tamba,Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Burundi.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Prof. Mark Mwandosya (wa nne kushoto) na Bw.Bruce...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mh. Mwandosya aongoza maadhimisho ya 20 ya mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda jijini Dar

 Maandamano yakiwa yameanza kuelekea ukumbi wa Mlimani City

 Mmoja ya Waandamaji wa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya Rwanda ikiwa imetimia Miaka 20 akiwa amebeba Mwenge Maalum kwa ajili ya Maadhimisho.

 Maandamano ya Kumbukumbu ya miaka 20 ya Mauaji ya Kimbari yaliyotokea mwaka 1994 yakiendelea kuelekea Ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya Maadhimisho hayo.

 Baadhi ya Wanafunzi pamoja na watu wengine mbalimbali wakiwa wameshika mabango mbalimbali yanayo elezea siku ya kumbukumbu ya Mauaji...

 

11 years ago

GPL

PROF. MARK MWANDOSYA AONGOZA MAADHIMISHO YA 20 YA MAUAJI YA KIMBARI YALIYOTOKEA NCHINI RWANDA JIJINI DAR

Mgeni Rasmi Mh. Profesa Mark J. Mwandosya Waziri Ofisi ya Rais akipokea Mwenge Maalum wa Kumbukumbu ya Miaka 20 ya Mauaji ya Rwanda kutoka kwa Mustapha Issa wa kwanza kutoka upande wa kushoto pamoja na Amina Mtegeti. Baadhi ya Wanafunzi pamoja na watu wengine mbalimbali wakiwa wameshika mabango mbalimbali yanayoelezea siku ya kumbukumbu ya Mauaji… ...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya atembelea Mradi wa nyumba 13 za kisasa kwa ajili ya Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo,Rungwe Mashariki

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Kazi Maalim, Mh. Prof. Mark Mwandosya (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkazi wa Mradi wa nyumba 13 za kisasa kwa ajili ya Wafanyakazi wa Halmashauri ya Busokelo zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa, Ndugu Nyangi, wakati alipotembelea mradi huo.

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya Waziri Mwandosya nchini Ethiopia

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya amekuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Mheshimiwa Alemayehu Tegenu kuhusu maendeleo ya maji na umeme katika nchi zao Waziri Tegenu (kulia) akiwa na Waziri Mwandosya.Mawaziri wakisikiliza maafisa wa Ethiopia wakiwasilisha mada mbalimbali.Picha ya pamoja baada ya kikao. Wa  tatu kulia ni Ndugu Suma Mwakyusa Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Tanzania Addis Ababa, wa nne kulia ni Mheshimiwa Naima Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia,...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya ziarani nchini Burundi

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya,wa tatu kushoto akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Biashara,Viwanda,Posta,na Utalii wa Burundi,Mhe.Rose Nizigiyimana.Wengine ni maafisa walioongozana na Waziri Mwandosya na wale wa Burundi. Waziri wa Biashara,Viwanda,Posta,na Utalii wa Burundi Mhe Marie Rose Nizigiyimana na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais(Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Tanzania naule wa Burundi baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA RWANDA NCHINI MAREKANI MHE. MATHILDA MUKANTABANA ATEMBELEA AFISI ZA UMOJA WA AFRIKA WASHINGTON, DC.


Mhe Balozi wa Rwanda Profesa Mathilda Mukantabana akiwa katika pich ya pamoja na Balozi wa AU Mhe. Amina Salum Ali alipotembelea ofisi za Umoja wa Afrika uliopo Washington, DC nchini Marekani .Balozi Profesa Mathilda anachukua uongozi wa mikutano wa mabalozi wa Afrika katika kipindi cha mwezi April hadi July 2015 akiwakilisha kanda ya Afrika Mashariki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani