WAZIRI MWINYIHAJI AKUTANA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA KENYA MH RAILA ODINGA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Mhe Dk Mwinyihaji Makame akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Amolo Odinga alipofika Ofisini kwake kumsalimia akiwa Zanzibar kushiriki Mkutano wa Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama na Maendeleo kwea Nchi za Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika kesho Zanzibar. Waziri Mwinyihaji akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Odinga alipofika Ofisini kwake kumsalimia akiwa Zanzibar kuhudhuria...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Raila Odinga afanyiwa upasuaji baada ya kuugua mgongo, Kaka wa Raila Odinga athibitisha
10 years ago
Michuzi07 Dec
Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.
Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MSTAAFU AMKABIDHI RASMI OFISI WAZIRI MKUU MAJALIWA
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
Waziri Mkuu Majaliwa amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda!
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Jumamosi Novemba 21, 2015.
Waziri Mkuu,...
11 years ago
GPLRAIS JK AWAJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU CLEOPA DAVID MSUYA NA WAZIRI HAROUN ALI SULEIMAN
10 years ago
MichuziWAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN
10 years ago
GPLWAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN