Waziri Nyalandu: Nitachukua uamuzi mgumu
Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema anaamini kuwa rais ajaye wa Tanzania, atakuwa ni kijana na kusema kwamba kila zama zina kitabu chake.Akizungumza katika mahojiano maalumu na gazeti hili hivi karibuni, waziri huyo alisema kuwa itakuwa ni kosa iwapo Rais Jakaya Kikwete atakabidhi kijiti kwa mtu mwenye umri unaofanana naye.Nyalandu alibainisha kwamba wakati ukifika, atatangaza iwapo atagombea urais au kuendelea kugombea ubunge katika jimbo lake la Singida...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania14 Mar
Zitto: Nitachukua uamuzi mgumu
Na Freddy Azzah, Kigoma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametua jimboni kwake na kuomba kuungwa mkono kwa hatua yoyote atakayochukua kuanzia sasa.
Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana, alipokuwa katika kikao cha ndani na viongozi wa jimbo hilo.
Ingawa hakuweka wazi ni hatua gani atakayochukua, lakini wachambuzi wa siasa wanasema pengine atachukua uamuzi mgumu kutokana na matukio kadhaa yaliyomtokea katika maisha yake ya kisiasa.
Katika kikao hicho kilichohudhuriwa na takriban watu 250,...
10 years ago
Mtanzania22 May
Uamuzi mgumu CCM
Na Khamis Mkotya, Dodoma
NI uamuzi mgumu, ndivyo unavyoweza kusema wakati Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) inapoanza vikao vya juu mjini Dodoma leo.
Vikao hivyo ni mwelekeo wa chama kuelekea uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Kikao cha kamati hiyo kinatarajiwa kuanza saa nne asubuhi, ambapo wajumbe wa kikao hicho watajadili masuala mbalimbali, ikiwamo hatima ya makada sita wa chama hicho waliofungiwa.
Hata hivyo, taarifa ambazo...
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Uamuzi mgumu kweli unalipa
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Lowassa atangaza ‘uamuzi mgumu’
10 years ago
Mwananchi30 Jul
Lowassa, Ukawa uamuzi mgumu
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Heri ya Chadema wanachukua uamuzi mgumu
11 years ago
Mwananchi09 Jul
MAONI: Katiba imeshindikana, ufanyike uamuzi mgumu
11 years ago
Mwananchi31 May
Uamuzi mgumu utainusuru Wami Mbiki inayoteketea-2
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Utafika wakati lazima ufanye uamuzi mgumu