Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto: Nitachukua uamuzi mgumu

Zitto_Kabwe_2011Na Freddy Azzah, Kigoma

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametua jimboni kwake na kuomba kuungwa mkono kwa hatua yoyote atakayochukua kuanzia sasa.

Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana, alipokuwa katika kikao cha ndani na viongozi wa jimbo hilo.

Ingawa hakuweka wazi ni hatua gani atakayochukua, lakini wachambuzi wa siasa wanasema pengine atachukua uamuzi mgumu kutokana na matukio kadhaa yaliyomtokea katika maisha yake ya kisiasa.

Katika kikao hicho kilichohudhuriwa na takriban watu 250,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Waziri Nyalandu: Nitachukua uamuzi mgumu

Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema anaamini kuwa rais ajaye wa Tanzania, atakuwa ni kijana na kusema kwamba kila zama zina kitabu chake.Akizungumza katika mahojiano maalumu na gazeti hili hivi karibuni, waziri huyo alisema kuwa itakuwa ni kosa iwapo Rais Jakaya Kikwete atakabidhi kijiti kwa mtu mwenye umri unaofanana naye.Nyalandu alibainisha kwamba wakati ukifika, atatangaza iwapo atagombea urais au kuendelea kugombea ubunge katika jimbo lake la Singida...

 

10 years ago

Mtanzania

Uamuzi mgumu CCM

mangulaNa Khamis Mkotya, Dodoma

NI uamuzi mgumu, ndivyo unavyoweza kusema wakati Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) inapoanza vikao vya juu mjini Dodoma leo.
Vikao hivyo ni mwelekeo wa chama kuelekea uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Kikao cha kamati hiyo kinatarajiwa kuanza saa nne asubuhi, ambapo wajumbe wa kikao hicho watajadili masuala mbalimbali, ikiwamo hatima ya makada sita wa chama hicho waliofungiwa.
Hata hivyo, taarifa ambazo...

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa atangaza ‘uamuzi mgumu’

>Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa ametangaza kuanza kwa hatua za kuyarejesha kwenye Mamlaka za Serikali za Vijiji mashamba 21 ya wawekezaji  yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 10,000,  ambayo hayajaendelezwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Uamuzi mgumu kweli unalipa

Wajasiriamali nchini wa aina mbalimbali wamekuwa na ubunifu wa aina mbalimbali ili kujikwamua na janga zima la umaskini ili maisha yaweze kusonga.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Ukawa uamuzi mgumu

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangaza kuhama CCM na kujiunga na Ukawa kupitia Chadema, wasomi na wachambuzi wa masuala ya siasa wamesema pande hizo mbili zimefanya uamuzi mgumu ambao utanufaisha kila upande.

 

11 years ago

Mwananchi

Heri ya Chadema wanachukua uamuzi mgumu

Ikiwa imebaki miaka miwili kufanyika Uchaguzi Mkuu mwaka 2015, vyama vya siasa vimeanza kujiandaa ili kuhakikisha vinashinda uchaguzi huo na kushika dola.

 

11 years ago

Mwananchi

Uamuzi mgumu utainusuru Wami Mbiki inayoteketea-2

Wiki iliyopita tulianza kuwaletea Ripoti Maalumu kuhusu namna ya kulinusuru Pori la Wami Mbiki, leo tunaendelea

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Katiba imeshindikana, ufanyike uamuzi mgumu

>Bunge Maalumu la Katiba lilipoanza shughuli zake mjini Dodoma mapema mwaka huu, zilijitokeza dalili za kuwapo  uwezekano mkubwa wa Bunge hilo kushindwa kutunga Katiba Mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Kikwete na woga wa kufanya uamuzi mgumu

>Wakati Rais Jakaya Kikwete akifungua Bunge Maalumu la Katiba wiki iliyopita mjini Dodoma alisema kuwa asingependa kuona muundo wa Serikali tatu ukitokea wakati bado akiwa madarakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani