Waziri Tizeba ataka timu za Wizara zishiriki Ligi Kuu
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo ziendeleze michezo kwa wafanyakazi wao makazini na kuhakikisha wanashiriki michuano ya mashirika ya umma na taasisi zenye uwezo kama Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kushiriki Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara.
Dk. Tizeba amesema hayo mwishoni mwa wiki Jijini Mwanza wakati akiwapongeza wanamichezo wa timu ya Wizara ya Uchukuzi iliyoshiriki michuano ya michezo ya Mei Mosi na kuibuka washindi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Timu Ligi Kuu zimsikilize Mayanga
KOCHA Msadizi wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Salum Mayanga amezitaka timu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania bara kutumia mji wa Tukuyu kama sehemu ya mazoezi ya kujiandaa na...
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Timu zilizopanda Ligi Kuu zijipange
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Timu tano zawania Ligi Kuu
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Timu 14 Ligi Kuu, mambo muhimu 14
9 years ago
Habarileo11 Sep
Wadhamini wazitakia heri timu Ligi Kuu
WADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza kesho kwenye viwanja mbalimbali nchini.
9 years ago
Mtanzania03 Oct
Hasara yazikumba timu Ligi Kuu Zanzibar
NA MOHAMED MHARIZO, DAR ES SALAAM
TIMU zinazoshiriki Ligi Kuu ya Zanzibar, zimelalamikia hasara za kiuendeshaji zinazopata kutokana na ligi hiyo kusimamishwa kwa amri ya mahakama kutokana na Chama cha Mpira wa Miguu visiwani humo (ZFA), kukabiliwa na kesi mbalimbali.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi kwa simu kutoka Zanzibar, mmoja wa makocha wa timu za Ligi Kuu ya Zanzibar, Ali Bushiriki ambaye ni kocha mkuu wa timu ya KMKM, alisemakwa sasa hawajui hatima ya ligi hiyo kutokana na kesi...
10 years ago
Mwananchi02 Mar
Timu mpya zitakazoleta upinzani Ligi Kuu Bara