Wadhamini wazitakia heri timu Ligi Kuu
WADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza kesho kwenye viwanja mbalimbali nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
10 years ago
GPL
VODACOM YAZITAKIA KILA LA HERI TIMU ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU TANZANIA BARA
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao, akizungumza jijini Dar es Salaam jana. WADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao, alisema kuwa ni...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Kila la heri lala salama Ligi Kuu Bara 2013/14
RAUNDI ya pili ya Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza kesho kwa miamba 14 kuanza ngwe ya mwisho ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo ambayo safari yake ilianza Agosti 24, mwaka...
10 years ago
Mwananchi17 Aug
Klabu za Ligi Kuu ziamke, zisake wadhamini wengine
Wiki iliyopita, wadhamini wa Ligi Kuu, Kampuni ya simu za mkononi, Vodacom walitangaza dau ambalo timu zinazoshiriki Ligi Kuu zitapata msimu ujao.
10 years ago
GPLWADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAMTUNZA MANDAWA
Naibu Waziri wa maji Amos Makala wapili toka kulia akimkabidhi mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara mwezi Novemba Rashid Mandawa wa Kagera Sugar(wapili toka kushoto) hundi yenye thamani ya  Sh. Milioni 1/=na kombe kabla ya mechi kuanza kati ya Simba na Kagera Sugar ambapo simba ililala kwa bao 1-0. Wengine kulia ni Makamu Mwenyekiti wa bodi ya ligi Said Mohamed. Kushoto Ofisa Udhamini wa Vodacom Tanzania...
10 years ago
Michuzi
HAMIS KIIZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

10 years ago
Mwananchi13 Nov
Timu 14 Ligi Kuu, mambo muhimu 14
Wachezaji wa timu 14 za Ligi Kuu Bara wameanza likizo tangu Jumapili ili kupisha kipindi cha usajili wa dirisha dogo baada ya raundi saba kumalizika huku mambo kadhaa na yenye umuhimu yakijitokeza.
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Timu tano zawania Ligi Kuu
Wakati Polisi Morogoro ikiwa ya kwanza kupanda Ligi Kuu msimu wa 2014/2015, timu nyingine tano za ligi daraja la kwanza zinachuana kuwania nafasi mbili zilizobakia.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania