Waziri Ummy Mwalimu aanzisha “Mpishe mzee kwanza apate hudumaâ€
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa wa Tanga, wakati akitoa mwelekeo wa vipaumbele vyake kwa wazee wa Tanzania kupitia kwa wazee wa mkoa wa Tanga.
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu ameagiza vituo vyote vya serikali vya kutolea huduma za afya nchini, kuweka anuniani inayosema”Mpishe mzee kwanza apate huduma”.
Ametaka...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU ATHIBITISHA UWEPO WA MGONJWA WA KWANZA WA CORONA NCHINI
Na Avila Kakingo, Globu ya jamiiWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema kuna mtu mmoja mwenye umri wa miaka 46 ameainika kuwa na virusi vya Corona Covid 19 ambaye aliwasili nchini na ndege ya Rwandan air akitokea nchini ubelgiji.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Waziri Ummy amesema kuwa mtu huyo ambaye ni mwanamke raia wa Tanzania aliondoka nchini, Machi 3, 2020,ambapo kati ya Machi 5 hadi Machi13 alitembelea nchi za Swiden na Denmark na kurudi...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.
5 years ago
MichuziWAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA TAASISI YA SEKTA BINAFSI-TPSF
Na. WAMJW-DSM
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu leo amekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na kujadili namna ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini.
Katika kikao hicho, Waziri Ummy Mwalimu ameshukuru baraza hilo kwa kushirikiana na Sekta ya afya katika mapambano ya ugonjwa huo.
”Mchango wa sekta binafsi mkiwamo nyie wafanyabiashara ni muhimu kwani mtaleta manufaa makubwa katika mapambano haya,” amesema Waziri Ummy...
5 years ago
MichuziWATOA HUDUMA ZA AFYA MSIWAKIMBIE WAGONJWA-WAZIRI.UMMY MWALIMU
Na WAMJW – Dar es Salaam
Serikali imewataka wahudumu wa afya nchini kufuata kanuni na miongozo iliyopo katika kutoa huduma kwa wagonjwa kwa kufanya hivyo wataweza kuepuka kupata maambukizi kutoka kwa wagonjwa wanaowahudumia.
Rai hiyo imetolewa leo jijini jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akipokea msaada wa vifaa vya kunawia mikono 100 vyenye ujazo wa lita 500 kutoka kwa Shirika lisiyo la kiserikali la Water Mission...
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Waziri Ummy Mwalimu ataka halmashauri ya Kinondoni kusimamia sheria za Mazingira
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty(kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu wakati wa ziara ya kujifunza masuala ya usimamizi wa taka zinazozalishwa katika halmashauri hiyo.
Hussein Makame-MAELEZO
NAIBU Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu amewataka watendaji wa kata za halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kusimamia utekelezaji wa sheria na kanuni za kusimamia mazingira kwani kufanya hivyo watafanikiwa...
9 years ago
Dewji Blog12 Dec
Waziri Ummy Mwalimu na Naibu wake Dk. Kigwangala waripoti wizarani leo
Gari la Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu likiwasili Makao Makuu ya wizara hiyo na kupokelewa kwa saluti mara tu baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli katika sherehe zilizofanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam.(Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akipokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Donan Mmbando mara tu...
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Waziri Ummy Mwalimu amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Ocean Road
Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo.
9 years ago
Michuzi04 Jan
WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU AKAGUA KAMBI YA KIPINDUPINDU YA NYANKUMBU MKOANI GEITA
9 years ago
Dewji Blog04 Jan
Waziri Ummy Mwalimu atembelea kambi ya wagonjwa wa kipindupindu Nyankumbu, Geita ahimiza usafi
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akivaa vifaa maalum vya kujikinga na kipindupindu kabla ya kuingia kwenye kambi hiyo, kulia ni Mganga mfawidhi wa Kituo hicho Josephat Msafiri.(Picha Zote na Catherine Sungura WAMJW-GEITA).
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu ametembelea katika kambi ya wagonjwa wa Kipindupindu Nyankumbu, Wilayani Geita mapema Januari 4 huku akiitaka...