Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


wazo la kutafsiri kitabu cha CHANGAMOTO: Insha za Jamii.

Na Prof. Joseph Mbele
Kwa wiki kadhaa, nimekuwa nikiwazia kutafsiri kitabu cha CHANGAMOTO: Insha za Jamii. Siku chache zilizopita, niliandika kuhusu kitabu hiki katika blogu hii. 

Nawazia kuzirekebisha insha zilizomo, na kuchapisha kitabu cha ki-Ingereza. Kufanya hivyo kutakipa kitabu hadhira kubwa zaidi kuliko ile ya wajuao ki-Swahili. Nina hakika, kwa mfano, kuwa wa-Marekani watakitafuta na kukisoma. Kwa ujumla wasomaji wa vitabu vyangu ni wa-Marekani. 

Ninaposhiriki matamasha hapa Marekani,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWANAFUNZI WA ARDHI ATOA CHANGAMOTO KWA VIJANA KUPITIA KITABU CHAKE‏

Nguku anaelezea kwamba kitabu hicho yenye kauli mbiu “Sio Serikali ni Mimi, Wewe na Sisi,” inatoa hamasa kwa watu hasa hasa kundi la vijana waweze kuwa na uthubutu wa kutimiza malengo yao katika maisha. Wanaoshuhudia ni mama yake mkubwa Bi. Anna Kikwa na baba yake mdogo Bw. Emmanuel Mallewo.
Bi. Kikwa (kushoto) na Bw. Mallewo wakionyesha kitabu cha 'Safari Ya Ndoto' alichokiandika mwanao Aman (katikati)...

 

9 years ago

Mwananchi

Changamoto za mifuko ya hifadhi ya jamii

Wiki iliyopita nilielezea baadhi ya mambo yanayosababisha kuwagusa wachangiaji wa mifuko ya pensheni ya hifadhi ya jamii, hasa wanapokuwa wanapoteza uanachama na kinga yao ya hifadhi ya jamii na pale wanapoondoka au kuhamia mfuko mwingine wakiwa ndani ya nchi na akivuka mpaka na kwenda nje ya nchi.

 

11 years ago

Michuzi

IJUE HISTORIA YA GLOBU YA JAMII (CHANGAMOTO)

Mahojiano na Vijimambo Agosti 2011

 

10 years ago

Vijimambo

TATIZO LILILOSABABISHA KUFUNGWA KWA KIWANDA CHA CEMENT TANZANIA WAZO HILL

Kiwanda cha Capital Cement San Antonio.TX kilikumbwa na tatizo kama la Wazo hill na T.E.S Kampuni ya Dr Temba Mtanzania mkazi wa New York alipata tenda na alienda kutatua tatizo hilo kwa kufunga filters maalum za kuzuia huo moshi mchafu kusambaa na kusababisha matatizo ya afya kwa wakazi wa eneo la kiwanda. Dr Temba ni engineer anaedesign hizo machine za air pollution system na kampuni yake ya T.E.S uzifunga. Na toka zimefungwa filter hizo tatizo la kutoa moshi mchafu liliisha na sasa...

 

5 years ago

Michuzi

KITABU CHA NIMEJITAKIA CHA MOHAMMED HAMMIE CHAZINDULIWA RASMI NCHINI

Hatimae kitabu cha NIMEJITAKIA kilichoandikwa na Mohammed Hammie kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu na wasomaji wa riwaya nchini Tanzania na Afrika Mashiriki kimetoka rasmi huku kikipokelewa kwa bashasha fasihini.

Akizungumza nasi mwandishi wa kitabu hicho Bwana Mohammed amesema kuwa tayari riwaya hiyo imeshaanza kusambazwa katika baadhi ya maeneo hapa nchini ambapo kwa mkoa wa Dar es salaam kinapatika katika duka la TPH Bookshop lililopo posta, duka la kona ya riwaya lililopo Moroko, pamoja...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA RAIS NKURUNZIZA

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Burundi nchini leo Jijini Dar es Salaam Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Ndumbaro akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Burundi nchini leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Gervais Abayeho.  


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas...

 

9 years ago

Bongo5

Kitabu kipya cha Harry Porter kipo njiani, kitakuwa cha bure

Mwandishi wa vitabu, JK Rowling anatoa kitabu kipya cha Harry Potter kupitia mtandaoni na kitakuwa cha kusoma bure. Kitabu hicho kitaendelea na historia ya familia ya kichawi ya Porter katika karne ya 12. Kitapatika kwenye tovuti ya Pottermore.com. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za […]

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATIA SANI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA NKURUNZIZA



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre  Nkurunziza kwenye Ubalozi wa Burundi, Upanga jijini Dar es salaam, Juni 17, 2020. Wa pili kulia ni Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Abayeho Gervais.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitoa heshima baada ya kutia saini kitabu cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani