Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA AZIMA JEURI YA KAJALA

Stori: Erick Evarist
FEDHA haina mwenyewe! Siku chache baada ya kudaiwa kuyumba kiuchumi kiasi cha kuzidiwa jeuri na aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ameibuka na kujibu mapigo kwa kumwaga ‘mafedha’ ukumbini, Risasi Mchanganyiko linashuka na mzigo kamili. Wema akimwaga manoti kwa mwimbaji wa Skylite Band. Tukio hilo lililowaacha watu midomo wazi lilichukua...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

11 years ago

GPL

KAJALA AONESHA JEURI YA MAGARI

Stori:Gladness Mallya na Shakoor Jongo MSANII wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni alionesha jeuri ya magari baada ya kutinga nayo mawili kwa nyakati tofauti kwenye kumbukumbu ya miaka miwili ya marehemu Steven Kanumba. Muonekano wa ndani wa gari aina ya Toyota Bravis anayomiliki Kajala. Awali kwenye ibada ya kumuombea marehemu, Kajala alifika kwenye kanisa moja lililopo Kimara Temboni akiwa...

 

10 years ago

GPL

KAJALA ANAPATA WAPI JEURI HII?

Imelda mtema FEDHA inaongea! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mwigizaji Kajala Masanja kupanga kwenye mjengo mpya wa maana na kuushehenesha samani na ‘vikorombwezo’ kibao hadi kufikia hatua ya watu kuhoji, amepata wapi jeuri hiyo ya fedha? Ijumaa limenasa mchapo kamili. Mjengo anaoishi mwigizaji Kajala Masanja. Kajala ambaye awali alikuwa akiishi maeneo ya Sinza-Madukani, kwa sasa amehamia katika mjengo huo mpya uliopo...

 

10 years ago

Bongo Movies

'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema

Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao

ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.

Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...

 

11 years ago

GPL

WEMA JEURI YA FEDHA KWISHA!

Wema Isaac Sepetu. Stori: Oscar Ndauka na Richard Manyota
NI kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha? Kama ni kweli, basi ile jeuri ya fedha ya Miss Tanzania mwaka 2006 ambaye pia hufanya vyema kwenye gemu la sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu inadaiwa imefikia nchani, Risasi Mchanganyiko limepashwa ‘ei tu zedi’.…

 

10 years ago

GPL

KAJALA AMWANGUKIA WEMA

Waandishi wetu
KWELI dhamira inauma! Staa mkali wa sinema za Bongo, Kajala Masanja ameamua kukifungua kinywa chake na kusema kuwa anamwomba msamaha zilipendwa wake katika urafiki, Wema Isaac Sepetu kwa mabaya yote aliyomtendea, Amani linakupa zaidi. Staa mkali wa sinema za Bongo, Wema Sepetu. Akizungumza katika mahojiano maalum na  mapaparazi wetu mapema wiki hii jijini Dar, Kajala alisema hata kama kuna chuki ya ukubwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani