Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema, Diamond masaprize kibao

JUZI Jumapili wakati watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwenye kona mbalimbali za kula bata, wadau wa Sanaa nchini wakiwemo wasanii wenyewe walikuwa pale Mlimani City, Dar es Salaam, wakifanya yao.

Kwa baadhi ya wasanii ilikuwa ni bonge la saprize iliyojaa furaha pale walipotangazwa kuwa washindi kwenye tuzo za filamu za Sinema Zetu International Film Festival Award (SZIFF).

Tuzo hizo ziliandaliwa na Azam Tv kupitia chaneli ya Sinema Zetu kwa lengo la kutambua kazi za wasanii wa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.

Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.

 

Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.

Hivi ndivyo maelezo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge

Mzee Majuto  kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;

Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND ATUWA BONGO, APOKELEWA NA WATU KIBAO USIKU

Staa wa muziki wa kizazi Kipya Bongo,Nasib Abdul 'Diamond', usiku wa kuamkia leo aliwasili nchini akitokea Marekani ambako alienda kwa ajili ya kushiriki kwenye tuzo za BET ,zilizomalizika hivi karibuni, alitua kwenye Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam na kupokelewa na umati wa mashabiki kibao majira ya saa 5 usiku. Diamond akiwanyooshea mikono baadhi ya watu waliyojitokeza… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete ammwagia sifa kibao Diamond Platinumz

Mwanamuziki, Nassib Abdul ‘Diamond Platinumz’ jana aliziteka nyoyo za wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika maadhimisho ya miaka 38 ya kuanzishwa kwa chama hicho yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Majimaji, Songea.

 

10 years ago

Bongo5

Diamond awapoteza P-Square, Waje ammwagia sifa kibao!

Diamond Platnumz yupo kwenye ligi nyingine kabisa sasa hivi. Staa huyo amewapiku mapacha wanaopendwa zaidi barani Afrika kwa views za video yao mpya ‘Shekini’. Video ya mapacha hao iliyowekwa November 17, hadi sasa ina views 326,669 (zinazoongezeka) na wakati video ya ‘Ntampata Wapi’ ya Diamond iliyowekwa November 20 ikiwa na views 419,935 (zinaongezeka). Shekini hadi […]

 

10 years ago

Vijimambo

SUPER STAR DIAMOND AFUNGUKA LIVE: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA, WEMA NAYE AJIBU MASHAMBULIZI ILE MBAYA


KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’.Licha ya Diamond kufunguka hayo, wawili hao wamekuwa na mapenzi ya vipindi, kuna wakati waliwahi kumwagana kisha kurudiana na hakuna aliyewahi kutoa tamko zito lakini safari hii...

 

10 years ago

Vijimambo

Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.

Meninahhabari mpya zinasema kuwa vikao vya harusi ya Diamond na Meninah ambaye ni mwanamuziki wa Bongo fleva vimeanza kimya kimya nyumbani kwa mama Diamond huku mmoja wa wahudhuriaji wakiwa ni mama Diamond mwenyewe na Queen Darling ambaye ni dada wa Diamond.Kwa mujibu wa Baabkubwa magazine paparazzi wake alienda nyumbani kwa Diamond hivi juzi kati kufanya nae mahojiano hata hivyo hakumkuta Diamond lakini alimkuta mmoja wa watu wake wa karibu ambaye yupo pia upande wa Wema Sepetu.Chanzo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani