WEMA, MAMA YAKE KUSOMA ALBADILI
![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGYM*P45JQCQAkNy2s83pLB4fQbtjaiFBIl*3Di2P5Sgl1aVth40Yo5TenP0AI*WqF3GUJrUW63HUVfROvfKRpgm/FRONTJUMAMOSI.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema SIKU chache zimekatika tangu kusambazwa kwa picha feki inayodaiwa ni ya mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu, wawili hao wako kwenye mkakati mzito wa kuwasomea kisomo cha Albadili wale wote waliohusika kwa namna yoyote ile kuitengeneza picha hiyo na kuitupia mitandaoni, Risasi Jumamosi linakumegea. Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. Picha hiyo iliyosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Wema alia kudhalilishwa mama yake
MSANII wa Filamu, Wema Sepetu, amesema kitendo cha watu waliotengeneza picha za kumdhalilisha mama yake kimemuumiza. Wema ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, aliandika katika ukurasa wake wa instagram na...
11 years ago
GPLWEMA SEPETU AWAJIBU WALIOMCHAFUA MAMA YAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eOkD9SMZvVpLvEXI3paQjxMCt4MdCcA*229cIJ921F6NAbRaugVCFCBhOIO4-Fj7lNRnaD5yQLHooav1s*xO7o-DBd5dcb5S/MAMAWEMA.jpg?width=650)
MAMA WEMA USIJISAU, WEWE NI MTU MZIMA!MAMA WEMA
11 years ago
Bongo Movies22 Jun
Matusi ya kwenye mitandao ya kijamii yamuumiza Wema Sepetu kwa kumgusa mama yake Mzazi
Mtandao maarufu wa kijamii wa Instagram umekuwa sehemu ambayo mambo mengi yanafanyika siku hizi na kuwaacha watu wengine wakifurahi, kukasirika na wengine wakitoa machozi kutokana na vita isiyo rasmi inayoendeshwa na team zinazoundwa na mashabiki wanaodai kumlinda mtu fulani maarufu.
Vita ya "team" hizi imekuwa serious zaidi kwa wasanii wa kike na mara nyingi hushambuliana kwa maneno na hata matusi ya nguoni pale mmoja anapotaka kuvuka msitari wa mwingine.
Vita hiyo imemgusa Wema Sepetu...
11 years ago
Dewji Blog13 Jun
“Wajengeeni watoto utamaduni wa kusoma vitabu” — Mama Salma Kikwete
MKE wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi Tamasha la kwanza la vitabu vya watoto sambamba na kampeni ya usomaji yenye kauli mbiu ‘Mpe Kila Mtoto Kitabu’ kwenye uzinduzi uliofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam leo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania
MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amewataka walezi na wazazi nchini kuwanunulia vitabu watoto wao ili kuwajengea utamaduni wa kupenda kujisomea vitabu vya ziada...
10 years ago
Mwananchi19 Jul
SAIKOLOJIA : je, Unajua kurekebisha mtindo wako wa kusoma kufuatana na malengo yako ya kusoma?
10 years ago
Dewji Blog27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
Na Mwandishi Wetu
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:
Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo...