Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema alia kudhalilishwa mama yake

MSANII wa Filamu, Wema Sepetu, amesema kitendo cha watu waliotengeneza picha za kumdhalilisha mama yake kimemuumiza. Wema ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, aliandika katika ukurasa wake wa instagram na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Lulu alia kwa uchungu akisimulia jinsi mama yake alivyompigania akiwa jela

Muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu amelia kwa uchungu baada ya kukumbuka jinsi mama yake alivyompigania wakati yupo jela alikopelekwa kwa kusababisha kifo cha marehemu Steven Kanumba. Akizungumza Ijumaa hii kwenye kipindi cha Uhondo cha EFM, Lulu alisema mama yake alifanya kila njia ili kuhakikisha mtoto wake anakuwa salama. “Mama yangu ana mapenzi pili […]

 

11 years ago

GPL

WEMA, MAMA YAKE KUSOMA ALBADILI

Stori: Imelda Mtema
SIKU chache zimekatika tangu kusambazwa kwa picha feki inayodaiwa ni ya mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu, wawili hao wako kwenye mkakati mzito wa kuwasomea kisomo cha Albadili wale wote waliohusika kwa namna yoyote ile kuitengeneza picha hiyo na kuitupia mitandaoni, Risasi Jumamosi linakumegea. Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. Picha hiyo iliyosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya...

 

11 years ago

GPL

WEMA SEPETU AWAJIBU WALIOMCHAFUA MAMA YAKE

Wema Sepetu. Sakata lenyewe lilianza hivi:
Baada ya picha feki ya Mama Wema kuwekwa mtandaoni na instagram account ijulikanayo kama Homa_ya_jiji_Team_Dengue na Account nyingine maarufu ya kumtetea Wema Ijulikanayo kama Dogiemasta13 ilifanya kazi ya ziada kumshawishi Homa_ya_jiji_Team_Dengue kuifuta hiyo picha na baada ya muda ilifutwa kwa masharti kuwa Dougiemasta13 aifunge account yake, na account ikafungwa kweli.
Wema...

 

10 years ago

GPL

MAMA WEMA USIJISAU, WEWE NI MTU MZIMA!MAMA WEMA

HII ni mara ya pili ninaandika kuhusu Miriam Sepetu, mama mzazi wa muigizaji nyota, Wema Sepetu. Bado ninakumbuka vizuri nilichokiandika mara ya kwanza, ilikuwa ni kuhusu tabia yake wakati ule. Alipenda sana kuzungumza na magazeti kuhusu nyenendo za mwanaye katika uhusiano wake wa kimapenzi na Diamond. Ingawa ni kweli mzazi ana nafasi muhimu katika maisha ya kimapenzi ya mtoto wake, lakini siyo jambo la busara kuingilia kupita...

 

11 years ago

Bongo Movies

Matusi ya kwenye mitandao ya kijamii yamuumiza Wema Sepetu kwa kumgusa mama yake Mzazi

Mtandao maarufu wa kijamii wa Instagram umekuwa sehemu ambayo mambo mengi yanafanyika siku hizi na kuwaacha watu wengine wakifurahi, kukasirika na wengine wakitoa machozi kutokana na vita isiyo rasmi inayoendeshwa na team zinazoundwa na mashabiki wanaodai kumlinda mtu fulani maarufu.

Vita ya "team" hizi imekuwa serious zaidi kwa wasanii wa kike na mara nyingi hushambuliana kwa maneno na hata matusi ya nguoni pale mmoja anapotaka kuvuka msitari wa mwingine.

Vita hiyo imemgusa Wema Sepetu...

 

11 years ago

GPL

WEMA SEPETU ALIA KUTOPATA MTOTO!

Stori: Mwandishi Wetu
MASKINI! Kilio kikubwa cha Wema Isaac Sepetu ni kupata mtoto, Risasi Mchanganyiko linafunguka.
Habari zilieleza kuwa Wema amekuwa na kiu ya mtoto kwa muda mrefu na kwamba alishakuwa na wanaume tofauti lakini hawakumpatia mtoto. Ilisemekana kwamba katika msururu wa wanaume aliominya nao kimalavu, iliwahi kuripotiwa kuwa ni mwanaume mmoja tu aliyefanikiwa kumpa ujauzito lakini kwa bahati mbaya mimba...

 

10 years ago

GPL

WEMA ALIA KUTOKUWA NA BAHATI NA MARAFIKI

Na Imelda Mtema
Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa, anajua siku zote yeye hana bahati ya kuwa na marafiki kwa kuwa hata akiwa nao mwishowe kunatokea mgogoro na kuachana huku kila mmoja akimuona mbaya. Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu. Akizungumza na gazeti hili juzi, Wema alisema anaumia sana kwa kuwa mara nyingi anawapenda sana rafiki zake kwa moyo mmoja lakini mwisho wa urafiki wao huwa ni mbaya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani