WEMA SEPETU ALIA KUTOPATA MTOTO!
![](http://api.ning.com:80/files/i*tFWQTF2R9iQ98R69gDFMO*gZiXoNdxDUX651LMYJUB1TsvB7PHD6JJl555P9c*DhnaeftrLlBWOhyQPkDY7dn3mhrNoRsu/wema.jpg?width=650)
Stori: Mwandishi Wetu MASKINI! Kilio kikubwa cha Wema Isaac Sepetu ni kupata mtoto, Risasi Mchanganyiko linafunguka. Habari zilieleza kuwa Wema amekuwa na kiu ya mtoto kwa muda mrefu na kwamba alishakuwa na wanaume tofauti lakini hawakumpatia mtoto. Ilisemekana kwamba katika msururu wa wanaume aliominya nao kimalavu, iliwahi kuripotiwa kuwa ni mwanaume mmoja tu aliyefanikiwa kumpa ujauzito lakini kwa bahati mbaya mimba...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvoxp7jhEtIttsBcBmRCZPoTj8V-5yWqxtEMEIjIHFezAeIzbccY7f4YZeqav3DcfVIilc0yyIgB5BKLtNPB19GLJOc0r15O/wolper.jpg)
WOLPER ALIA KUTOPATA MTOTO
9 years ago
Bongo Movies20 Oct
Jack Chuz Alia Kutopata Mtoto
KARIBU tena msomaji katika kolamu hii inayokuunganisha na mastaa mbalimbali wa muziki na filamu hapa nchini na kupata fursa ya kuwauliza maswali ambayo yamekuwa yakiumiza kichwa huyapatii majibu. Leo tunaye Jack Pentezel ‘Jack Chuz’.
Msomaji: Mbali na sanaa unafanya shughuli gani?
Jack Chuz: Nina saluni yangu Sinza na duka la nguo. Pia ni mtaalam wa kusuka na make up.
Msomaji: Nasikia bila ndumba huwezi kukubalika kwenye sanaa, unaliongeleaje hilo?
Jack Chuz: Si kweli, uzuri wa kazi zako...
10 years ago
CloudsFM13 Apr
Wema Sepetu alia na wanaomsakama kuwa hazai,Riyama Ally amtia moyo
Staa wa Bongo,Wema Sepetu amewafungukia baadhi ya watu wanaomsakama mara kwa mara kuwa hawezi kupata mtoto na kwamba yeye ni mgumba.
Kupitia mtandao wa Instagram Wema aliandika kuwa maneno hao yanamuumiza kama binadamu na angekuwa na uwezo wa kuzaa angezaa muda mrefu na kwamba hana na hawezi kumkufuru Mwenyezi Mungu.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/iXbY1jhuJ4g/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/F_3krU1MtNQ/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/L87BcYtLJm8/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-sQz0jxSRF8E/VToKVAQTuGI/AAAAAAAAsiA/Zqy4QvTuJQY/s72-c/wema%2Bsepetu990.jpg)
PICHA YA WEMA SEPETU AKIWA HOSPITALI YASHUA WENGI. WENGI WAULIZA KAMA NDO AMEANZA MATIBABU YA KUPATA MTOTO
![](http://api.ning.com/files/nBD8FQWarq-4R4WFf5QoJ*rzQSw0U9KUDL31XKiP1mNjS1erGKSqtvZe1mZJKHS51JEut23QP6TvboUuWotlUSMi6vmJn78e/wemasepetu.jpg)
The socialite, The Actress kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Wema Sepetu, baada ya kutangaza kuwa anatatizo la kutozaa kwa muda mrefu na angetamani siku moja kupata mtoto wamejitokeza madakatari wengi na kutaka kumtibu.Lakini kabla ya kuanza kumtibu amewapa angalizo kwamba wakati anaanza kutiwa akawa na mwenza wake kabisa ambae wwatukuwa wamekubaliana pale tatizo litakapokuwa limeisha tu basi mara moja waweze kupata mtoto..Hilo ndilo angalizo la Wema Sepetu ambae anatamani sana...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QWN5yhdbaeoALERsGm1rUUHBsFWKM65yVmm6KNrdNw4dg0bGkzNRNofcaVvKGc9yfamA*Xbv-Pcs6U0K3FlCLLaVa*eNUrw/Mage.jpg?width=650)
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...