Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA ALIA KUTOKUWA NA BAHATI NA MARAFIKI

Na Imelda Mtema
Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa, anajua siku zote yeye hana bahati ya kuwa na marafiki kwa kuwa hata akiwa nao mwishowe kunatokea mgogoro na kuachana huku kila mmoja akimuona mbaya. Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu. Akizungumza na gazeti hili juzi, Wema alisema anaumia sana kwa kuwa mara nyingi anawapenda sana rafiki zake kwa moyo mmoja lakini mwisho wa urafiki wao huwa ni mbaya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND:MARAFIKI NDIYO WANAOMPOTEZA WEMA SEPETU

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemtupia vijembe mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram usiku huu akionekana kuchukizwa na tabia ya staa huyo kupenda maisha ya starehe zisizo na faida.Katika ujumbe huo, Diamond ameandika kuwa angewaona mashabiki wa mrembo huyo wana akili na mapenzi ya dhati kama wangemshauri apunguze mashoga wapenda anasa na kuacha starehe zisizo na faida na kutumia fedha kufanya mambo ya maendeleo kuliko kuvifaidisha viwanda vya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wema alia kudhalilishwa mama yake

MSANII wa Filamu, Wema Sepetu, amesema kitendo cha watu waliotengeneza picha za kumdhalilisha mama yake kimemuumiza. Wema ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, aliandika katika ukurasa wake wa instagram na...

 

11 years ago

GPL

WEMA SEPETU ALIA KUTOPATA MTOTO!

Stori: Mwandishi Wetu
MASKINI! Kilio kikubwa cha Wema Isaac Sepetu ni kupata mtoto, Risasi Mchanganyiko linafunguka.
Habari zilieleza kuwa Wema amekuwa na kiu ya mtoto kwa muda mrefu na kwamba alishakuwa na wanaume tofauti lakini hawakumpatia mtoto. Ilisemekana kwamba katika msururu wa wanaume aliominya nao kimalavu, iliwahi kuripotiwa kuwa ni mwanaume mmoja tu aliyefanikiwa kumpa ujauzito lakini kwa bahati mbaya mimba...

 

10 years ago

CloudsFM

Wema Sepetu alia na wanaomsakama kuwa hazai,Riyama Ally amtia moyo

Staa wa Bongo,Wema Sepetu amewafungukia baadhi ya watu wanaomsakama mara kwa mara kuwa hawezi kupata mtoto na kwamba yeye ni mgumba.

Kupitia mtandao wa Instagram Wema aliandika kuwa maneno hao yanamuumiza kama binadamu na angekuwa na uwezo wa kuzaa angezaa muda mrefu na kwamba hana na hawezi kumkufuru Mwenyezi Mungu.

Baada ya kuandika maneno hayo msanii wa filamu za Kibongo,Riyama Ally alimtia moyo na kumwambia hivi…. naomba hapa unisikie kwamakini nabii ibrahim alimpata na bii ismail akiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Faida ya wabunge kutokuwa mawaziri

Dodoma.  Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, John Chiligati amesema mabadiliko ya Katiba yatakayofuta haki ya mbunge kuwa Waziri, yataongeza uwajibikaji kwa umma.

 

11 years ago

Michuzi

KUNRADHI YA MJENGWABLOG KUTOKUWA HEWANI

NDUGU ZANGU,
MJENGWABLOG HAIKO HEWANI TANGU JANA SAA TATU USIKU. NI KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI KWENYE DATA CENTRE NCHINI MAREKANI ZINAKOHIFADHIWA.
WAHUSIKA WALIOKO KWENYE DATA CENTRE WANAFANYA KAZI KATIKA KILA DAKIKA KUHAKIKISHA HITILAFU HIYO INAREKEBISHWA HARAKA IWEZEKANAVYO.
KWA SASA UNAWEZA KUENDELEA KUTUPATA KWENYE URSTREAM KWANZAJAMII RADIO, WEBSITE KWANZAJAMII.COM, FACEBOOK: KWANZAJAMII RADIO FANS
POLENI SANA KWA USUMBUFU NA TUNAWASHUKURU KWA KUENDELEA KUTUAMINI,
MAGGID...

 

10 years ago

Vijimambo

UFISADI NI SAO LA KUTOKUWA NA HOFU NA MUNGU

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akihubiri katika ibada ya Krisimasi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo katika Kanisa la Azania Front jijini Dar es Salaam Amesema kufuatia hali hiyo Tanzania imejikuta ikiingia kwenye vitendo vya rushwa na ufisadi, huku viongozi waliopewa dhamana na wananchi wakiweka mbele maslahi yao binafsi badala ya Taifa.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amesema watanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Ufisadi ni zao la Kutokuwa na hofu ya Mungu

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amesema watanzania wengi hivi sasa wamekosa kitu muhimu na cha thamani katika maisha yao, ambacho ni kutokuwa na hofu ya Mungu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani