UFISADI NI SAO LA KUTOKUWA NA HOFU NA MUNGU
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akihubiri katika ibada ya Krisimasi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo katika Kanisa la Azania Front jijini Dar es Salaam Amesema kufuatia hali hiyo Tanzania imejikuta ikiingia kwenye vitendo vya rushwa na ufisadi, huku viongozi waliopewa dhamana na wananchi wakiweka mbele maslahi yao binafsi badala ya Taifa.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amesema watanzania...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Ufisadi ni zao la Kutokuwa na hofu ya Mungu
10 years ago
Habarileo23 Oct
'Askofu muwe na hofu ya Mungu'
VIONGOZI wa Serikali nchini wameaswa kuwa na hofu ya Mungu wanapotekeleza majukumu yao ya kila siku katika kuwaletea maendeleo wananchi na kwamba kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa hapa nchini viongozi wanaohitajika ni wale wenye kiu na njaa ya usawa na haki katika matumizi ya rasilimali.
10 years ago
Habarileo08 Jul
‘Chagueni kiongozi mwenye hofu ya Mungu’
WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu, huku wakihakikisha wanamchagua kiongozi atakayeweza kuzisimamia vizuri rasilimali za taifa kwa manufaa ya watu wote.
11 years ago
Mwananchi19 May
Askofu: Hofu ya Mungu itatupa Katiba
10 years ago
Mtanzania06 Mar
Riyama: Watu wamekosa hofu ya Mungu
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu nchini, Riyama Ally, amewataka Watanzania kuwa na hofu ya Mungu na kuacha kuwadhulumu uhai wao walemavu wa ngozi ‘albino’.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Riyama alisema inashangaza watu ambao wamekuwa wakiendekeza imani za kishirikina, kwani wengi wao hushia pabaya na kukosa mafanikio.
Alisema imani potofu zimekuwa zikizidisha maovu hayo, huku baadhi ya watu wakijinufaisha wao bila kuangalia maisha ya wenzao.
“Watu hawana hofu ya Mungu kabisa,...
10 years ago
Mtanzania19 Jan
‘Tunataka rais mwenye hofu ya Mungu’
Na Debora Sanja, Dodoma
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Watanzania kuhakikisha rais watakayemchagua katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, lazima awe na hofu ya Mungu.
Dk. Bilal, alitoa kauli hiyo mjini Dodoma jana, wakati akizungumza katika hafla ya kusimikwa kwa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma, Beatus Kinyaiya.
Alisema kiongozi huyo, mbali na kuwa na hofu ya Mungu, lazima pia aweze kuongoza nchi bila kuwa na ubaguzi wa aina yoyote.
“Wakati tunapoelekea katika...
10 years ago
Vijimambo27 Dec
SUMAYE ATAKA WATANZANIA KUWA NA HOFU YA MUNGU
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/123.jpg)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/MAGUFULI-1.jpg)
MAGUFULI: RAIS MTARAJIWA MWENYE HOFU YA MUNGU
10 years ago
Michuzi26 Dec
KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA - MH. SUMAYE:
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/123.jpg)