WEMA: NIKIFA NIAGWE UWANJA WA TAIFA
![](http://api.ning.com:80/files/cZ399qCqOaG*2w9a45JPXgmw98yjlNns7Y7Ie1RZLMPiGPwQ6YMCQdkaLhgrLOYYcPROad5n8tdHiD-EugWI*Z9wr9IAcVL9/wema.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema Kazi ipo! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ambaye huwa haishiwi habari, ameibuka na jipya akidai kuwa akifa leo au kesho basi aagwe Uwanja wa Taifa jijini Dar, Ijumaa Wikienda limemtegea sikio. Wema Isaac Sepetu. Miss Tanzania huyo wa 2006/07 ambaye anakimbiza kwenye sinema za Kibongo alifunguka hayo wikiendi iliyopita wakati akiwa safarini kuelekea jijini Arusha ambapo msanii anayemilikiwa na kampuni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies23 Aug
Diamond atangaza rasmi kufunga ndoa na Wema. Apanga kufanya harusi uwanja wa taifa
Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka hayo alipozungumza na Mwanaspoti nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam juzi Jumatano. Alisema kuna mambo mengi yaliyomchelewesha kufikia hatua hiyo, ikiwamo maandalizi kwani amepanga mashabiki wake wahudhurie harusi hiyo.
“Ndoa ni kitu cha heri na baraka, lakini kitu kinachofanya kidogo mambo yachelewe ni kwamba sisi au mimi ni mtu ninayefahamika, kwa hiyo hata ndoa yangu watu wengi wanatamani waihudhurie,” alisema Diamond.
Pia...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bamPl0F4gD4/VedwDuHAupI/AAAAAAAH180/eafkYYR-PSM/s72-c/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
Mazishi ya kiongozi wa kikosi cha wataalamu wa China katika mpango wa ushirikiano wa ujenzi wa uwanja wa taifa na uwanja wa Uhuru
![](http://3.bp.blogspot.com/-bamPl0F4gD4/VedwDuHAupI/AAAAAAAH180/eafkYYR-PSM/s640/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-3k7c5DsJyWk/VedwDiNjdPI/AAAAAAAH184/VQqEyitF_Ks/s640/unnamed%2B%252835%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YFSAOLE0D-A/VDqqTUqZhqI/AAAAAAAGpl0/SWlOON-qJBI/s72-c/MMGM1084.jpg)
Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin
![](http://4.bp.blogspot.com/-YFSAOLE0D-A/VDqqTUqZhqI/AAAAAAAGpl0/SWlOON-qJBI/s1600/MMGM1084.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-NlUWrOLm_MY/VDqqSciQUQI/AAAAAAAGplo/WDumNWIiiQQ/s1600/MMGM1095.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-rw1cH6fb7bA/VDqqSY43IwI/AAAAAAAGpls/oJNT5cTcrZ0/s1600/MMGM1119.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-JgZ7IQqwkHA/VDqqUA2wFKI/AAAAAAAGpl8/O9cNCzaZok4/s1600/MMGM1140.jpg)
9 years ago
GPL06 Sep
10 years ago
Vijimambo06 Dec
MASHINDANO YA WAZI YA UBINGWA WA TAIFA YANAVYO ENDELEA KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA
10 years ago
GPLMKESHA MKUU WA KULIOMBEA DUA TAIFA KUFANYIKA DESEMBA 31-2014 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 uwanja wa Taifa jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa matamasha mbalimbali kama lile la Pasaka na Chrismas, ambaye ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Alex Msama, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea uchaguzi mkuu ambalo litafanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na baadaye mikoa mingine 12.
9 years ago
GPLUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA, DAR
9 years ago
Dewji Blog30 Aug
Uzinduzi wa Tamasha la kuombea Amani Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa Jijini Dar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha...