WEMA SEPETU NDIYE IJUMAA SEXIEST GIRL
![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2NrG6ClGsFO5dFKq9yqpPDpEHr-hW8Z6Z304RzFtgrBfKboH81iA3lTRwjZ9mUS77yCt*gL9WB1RnxGphNbz*CS/BREAKINGNEWS.gif)
STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga Elizabeth Michael ‘Lulu’, Nelly Kamwelu, Jacqueline Wolper na Jokate Mwegelo usiku huu ndani ya Dar Live. Shindano hilo lilikuwa linaendeshwa kupitia Gazeti Pendwa la Ijumaa linalochapishwa na kampuni ya Global Publishers… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
WEMA SEPETU ALIVYOIBUKIA KIDEDEA IJUMAA SEXIEST GIRL 2013/14
11 years ago
GPLWEMA SEPETU ASHINDA TUZO YA IJUMAA SEXIEST GIRL, WEUSI, WANAUME FAMILY WAFUNIKA SHOO YA PASAKA DAR LIVE
11 years ago
GPLWEMA AWAJIBU WANAOMPONDA BAADA YA KUSHINDA TUZO YA IJUMAA SEXIEST GIRL
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mza-*42r4qiniBRi9G0-lNSZAs37oT2FdBiq0Ae3H30y*ksm5RThPja0DdM7STbqeebqoFqSBTKC6uzmepL-T76-N6M4EuIf/wemacopy.jpg?width=650)
IJUMAA SEXIEST GIRL AHSANTENI SANA!
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Picha sita za Ijumaa Sexiest Girl 2015
Video Queen anayefanya pia filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ akiwa katika mapozi tofauti na ameibuka mshindi wa tuzo ya Ijumaa Sexiest Girl 2015 na kuwafunika Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Vanessa Mdee ‘Vee ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar hivi karibuni.
…Akiwa katika ubora wake.
BONYEZA LINK HAPA CHINI KUJIONEA
Kidoa aibuka kidedea Ijumaa Sexiest Girl 2015
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Joanita aipeleka Ijumaa Sexiest Girl, Dar Live
Fatuma Makame ‘Joanita’.
ANDREW CARLOS
dhamini wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl 2015, Fatuma Makame ‘Joanita’ ambaye ni Mkurugenzi wa Hamadombe Distributor, kampuni inayodili na uandaaji na usambazaji wa filamu Bongo amependekeza mshindi akatangazwe ndani ya Ukumbi wa Dar Live siku ya Krismasi na hivyo ndivyo itakavyokuwa.
Washiriki walioingia tatu bora ni Vanessa Mdee ‘Vee Money’, Asha Salum ‘Kidoa’ na Elizaberth Michael ‘Lulu’ hivyo mshindi atakuwa miongoni mwao.
Tukio hilo litakwenda...
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Kidoa aibuka mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015
Asha Salum ‘Kidoa’ (katikati) akiwasalimia mashabiki baada ya kutangazwa mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015 usiku huu Dar Live.
Akikabidhiwa Tuzo na Cheti chake na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amrani Kaima (kulia).
9 years ago
Dewji Blog27 Dec
Kidoa aibuka kidedea Ijumaa Sexiest Girl 2015
Video Queen anayefanya pia filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ akiwa na tuzo yake ya Ijumaa Sexiest Girl 2015 baada ya kuwafunika Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Vanessa Mdee ‘Vee ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar.
Kidoa (katikati) akiwasalimia mashabiki baada ya kutangazwa mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015.
…Akilia kwa furaha.
Kidoa akikabidhiwa tuzo na Mkurugenzi wa Hamadombe Distributor, Fatuma Makame.
…Akibusu tuzo.
Akiwa katika picha ya pamoja na mratibu...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Ijumaa Sexiest Girl 2015… Nani mshindi kesho?
Vanessa Mdee ‘Vee Money’
Hapa Vee Money, pale Lulu na kule Kidoa!
IMELDA MTEMA
HATIMAYE lile shindano la mwanamke mwenye mvuto (The Ijumaa Sexiest Girl 2015) linatarajiwa kufika kileleni kesho katika Sikukuu ya Krismasi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar, unavyodhani nani ataibuka mshindi kati ya Vanessa Mdee ‘Vee Money’ Asha Salum ‘Kidoa’ au Elizabeth Michael ‘Lulu’?
Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Jibu rahisi, unachotakiwa ni kuhudhuria katika shoo ya...