Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema ulifikiri mara ngapi kabla ya kutenda?

Kama umeumbwa na moyo wa kibanadamu na ukapata nafasi ya kuona kile alichokiandika msanii maarufu, Wema Sepetu kuhusu suala lake la kutoweza kupata ujauzito basi ni wazi kwamba ulihuzunika sana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Je wewe huoga mara ngapi kwa siku?

Wanawake wengi wamekiri kuwa huwa hawaogi mpaka kufikia siku tatu kwa kisingizio cha uchovu wa asubuhi ama jioni.

 

5 years ago

BBCSwahili

Je, unanawa mikono yako mara ngapi kwa siku?

Kuosha mikono yako angalau marasita au kumi kwa siku kunaweza kukuepusha kupata maambukizi mengi ikiwemo corona

 

10 years ago

Bongo Movies

Ugumba Wamtesa Wema, Adondosha Chozi Mara kwa Mara!

Tatizo la kutoshika mimba (infertility) au kushindwa kupata mimba (conceive) limekuwa likimtesa staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na limehusishwa na ugumba.

Akizungumza na gazeti la Amani juu ya ishu hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Wema alisema suala la kutopata mtoto limekuwa likimkosesha amani katika maisha yake ya ukubwani.

Alisema kwamba, amekuwa akishinda akilia kila anapokutana na shosti wake wa sasa, Aunt Ezekiel ambaye ni mjamzito.Wema alitiririka...

 

11 years ago

Mwananchi

Savimbi: Kabla ya kuuawa alinusurika kifo mara 15

Jonas Malheiro Savimbi alizaliwa Agosti 3, 1934 katika mji wa Munhango, Jimbo la Moxico katika kitongoji cha Reli ya Benguela, nchini Angola.

 

10 years ago

Mtanzania

Wema Sepetu: Natamani kuitwa mama kabla sijafa

wema-sepetuMREMBO wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu, amesema kwamba muda wote wa maisha yake amekuwa akisaka ujauzito lakini anasikitika kwamba hana uwezo huo.
Mrembo huyo ambaye kwa sasa anataraji kuachia filamu yake mpya aliyomshirikisha msanii maarufu wa Nigeria, Van Viker, ameeleza namna anavyotamani kuitwa mama kwa kuwa ndicho kitu kikubwa kinachomuumiza katika maisha yake kwa sasa huku akitamani kuwa na mtoto kabla hajafa.
Kauli ya mrembo huyo aliyoiweka katika mtandao wake wa Instagram,...

 

9 years ago

Michuzi

JNIA YAONGEZA UKAGUZI MIZIGO YA POSTA, SASA KUKAGULIWA MARA YA PILI KABLA YA KUPAKIZWA KWENYE NDEGE


  Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, Bw.Injinia Thomas Haule, (katikati), akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa uwanja huo leo Ijumaa Novemba 27, 2015.  Utawala wa uwanja huo ulio chini ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, TAA, umejipanga upya katika kuimarisha ulinzi ambapo kuanzia sasa, vifurushi na mizigo yote kutoka posta itakaguliwa kwa mara ya pili kabla ya kupakiwa ndani ya ndege, ikiwa ni...

 

9 years ago

MillardAyo

Mbwembwe na utani wa Neymar akiwa dressing room kabla ya mechi, mara achane nywele acheze muziki (+Video)

Stori za staa wa kibrazil Neymar katika umahiri wake wa kupiga chenga zimekuwa zikiingia katika headlines kila siku, najua umezoea kumuona Neymar na umbo lake dogo akiwapa shida wachezaji wenye maumbo makubwa kutokana na ufundi wake. Neymar ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambayo alijiunga nayo mwaka 2013 akitokea klabu ya Santos […]

The post Mbwembwe na utani wa Neymar akiwa dressing room kabla ya mechi, mara achane nywele acheze muziki (+Video) appeared first on...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani