WEMA:STAA YEYOTE NAWEZA KUTOKA NAYE
![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-Sp2NFtWZ8ybDM5KVu9d1ag4WrSq01o3icNkLxiB9JiVlWgmIJeepbaxeQXI1ygVKrEtA7pmRpw1fOiCE6G6vse/WEMASEPPETU.jpg?width=650)
Mwadada anayefanya poa sana kwenye tasnia ya Bongo Movies, Wema Sepetu. Makala - Bongo Saphyna Mlawa KATIKA orodha ya wanadada wanaofanya poa sana kwenye tasnia ya Bongo Movies, hata siku moja huwezi ukaacha kutaja jina la Malkia, Wema Sepetu ambaye alijipatia umaarufu kutokana na kazi nzuri tangu pale alipofanya muvi ya kwanza ‘The Point of No Return’ aliyoshilikishwa na marehemu Steven Kanumba na nyingine...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*CrhWs4hARiBgbbr9vPCgs6p2RbJKZnEfiCoAZtRE-ZjdB88KrjXjl9jFU2g1KmBDf3qOIF*X8gUbSt-NMqcpjTv/YemiAlade2.jpg?width=650)
TAMASHA LA MATUMAINI 2014: STAA WA JOHNNY... EEE! KUTOKA NIGERIA NAYE NDANI
10 years ago
Vijimambo10 Jun
SUPER STAR DIAMOND AFUNGUKA LIVE: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA, WEMA NAYE AJIBU MASHAMBULIZI ILE MBAYA
![](http://api.ning.com/files/sT-mI3qB-hd0YVE-1L3jrO35VuXlfCHa8GPFsghter64FISojx1YI8f9jEWQzHOXg3KQF*1lvwUKrNWc8ymR7uFBTIA7tm3r/diamond211.jpg?width=650)
KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.
![](http://api.ning.com/files/sT-mI3qB-hd0YVE-1L3jrO35VuXlfCHa8GPFsghter64FISojx1YI8f9jEWQzHOXg3KQF*1lvwUKrNWc8ymR7uFBTIA7tm3r/diamond211.jpg?width=650)
9 years ago
Bongo507 Dec
‘Wema Sepetu na Lulu wanaweza kufanya vizuri Hollywood’ asema staa mkubwa wa filamu
![wema lulu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/wema-lulu-300x194.jpg)
Staa wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon amesema Wema Sepetu na Elizabeth ‘Lulu’ Michael wanaweza kufanya vizuri Hollywood.
Akiongea na Bongo5, Napoleon amesema uwezo wa waigizaji hao unaweza kutisha watu kama wakipewa muongozo mzuri.
“Tanzania tuna waigizaji wazuri wengi sana,” amesema. “Watu wengi wakiangalia bongo movie wanaona movie mbovu au vipi. Hilo sio suala la uigizaji, hayo yanakuwa ni mambo mengine ya production yanayofanya filamu iwe mbovu labda filamu imeharakishwa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vJSFiOyZSXWCnZwJbagtubDdkinWv3CRvDcWuiLwaWXXblHwIEyhypfSoWmUeNKs9CrU*RPc4PpdY*K9NyaCpp*uMVBaxS2p/wema.jpg?width=650)
WEMA AMTAJA MWANAUME ATAKAYEZAA NAYE
10 years ago
Mtanzania15 Apr
Wema: Kumuimba msichana uliyeachana naye ni ushamba
NA RHOBI CHACHA
STAA wa filamu za kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, amesema ni ushamba kwa wasanii wa muziki kuwatungia nyimbo za majungu wasichana wanaoachana nao kimapenzi.
Wema amesema wasanii wengi wa muziki wamekuwa na tabia ya kishamba ya kutunga nyimbo zenye maneno ya kuudhi, wakiwalenga waliokuwa wapenzi wao.
“Ni ushamba wa mapenzi, haiwezekani mlikuwa mnafurahia wote mapenzi yenu, lakini mkiachana anakutungia nyimbo za kukuponda, hakuna neno la kuzungumzia hilo zaidi ya...
10 years ago
Bongo Movies05 May
Patcho Mwamba: Hakuna Staa wa Kike Ana Nyota Kama ya Wema Sepetu, Ila Dhambi Yake ni Moja...
Staa wa Bongo movies na mwanamziki wa Fm Academia Patcho Mwamba funguka kuwa staa mwennzake wa bongo movies, Wema Sepetu ana nyota kali zaidi ya mastaa wote wa kike wa hapa Bongo, Pacho ameyasema hayo akiwa anajibu swali aliloulizwa kwenye mahojiano maalumu na Bestizzo "Je unahisi Wema halitendei haki jina lake au kuna sehemu anakosea?"
''Kwanza tuseme ukweli wa Mungu hamna staa wa kike ana nyota kama ya Wema Sepetu, ni star ni star ni star ni star sana upande wa wanawake wote ndani ya bongo...
10 years ago
GPLJOKATE: MAPENZI YA STAA KWA STAA MBONA POA TU!
11 years ago
GPL16 Jul