Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA MATUMAINI 2014: STAA WA JOHNNY... EEE! KUTOKA NIGERIA NAYE NDANI

Yemi Alade. IM looking for my Johnny
Where is my Johnny...
Johnny oooh
Do you know Johnny...question Kiitikio hicho ndiyo habari ya mjini kwa sasa na good news ni kwamba staa wa wimbo huo, Yemi Alade wa Nigeria anadondoka Bongo kwa mara ya kwanza kuungana na listi ndefu ya wasanii wa nyumbani kulipamba Tamasha la Usiku wa Matumaini, Agosti 8, mwaka huu… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI: KUMBE JOHNNY WAKE YUPO TEMEKE

Mdada anayemiliki jina la Yemi Alade anatarajiwa kuwepo ndani ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kufanya shoo siku ya Tamasha la Matumaini, Agosti 8, mwaka huu. Na Nassoro Gallu
UNAPOZUNGUMZIA Nigeria katika ulimwengu wa muziki kwa sasa unazungumzia levo nyingine, jina la Yemi Alade ni moja ya majina ‘hot’, mdada anayemiliki jina hilo anajua kudansi, anajua kucheza na...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mohamed Ghalib Bilal amelipongeza wazo la Tamasha la Usiku wa Matumaini lililoandaliwa na Kampuni ya Global Publishers, jana kuwa ni zuri.
Alimpongeza Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo kwa kuandaa tamasha hilo kwani linaunganisha Watanzania wote.Mgeni rasmi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Ghalib Bilal akitoa hotuba.Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd ambao ndiyo waandaaji wa Tamasha la Usiku wa Matumaini...

 

11 years ago

GPL

MAKAMUZI YA SHILOLE NDANI YA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014

Mwanadada mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed 'Shilole' akicheza kwa kujiachia katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo. Zuwena Mohamed 'Shilole' akiongea na mashabiki wake.…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI... YEMI ALADE KUMSAKA JOHNNY UWANJA WA TAIFA

Na Nassor Gallu
MOSHI wa Burudani utafuka Agosti 8, mwaka huu pale tamasha kubwa linalojulikana kama Usiku wa Matumaini 2014 (Night of Hope) litakapomshusha mkali wa ngoma ya Johnny inayobamba katika redio na televisheni, Yemi Alade kutoka Nigeria. Katika tamasha hilo ambalo limekuwa likiwaunganisha Watanzania na kuchangia masuala ya elimu kupitia mapato ya mlangoni, mkali huyo kutoka Nigeria amepania kukata kiu ya burudani kwa...

 

11 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS DK. GHARIB BILAL NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Mgeni rasmi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akitoa hotuba fupi. Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd ambao ndiyo waandaaji wa Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014, Eric Shigongo naye akitoa neno la…

 

11 years ago

GPL

MADEE AMTAFUTA ALIYEMWAGA POMBE YAKE NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka Kundi la Tip Top Connection, Ahmad Ally 'Madee' akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014. Madee akisema na mashabiki wake.…

 

10 years ago

GPL

WEMA:STAA YEYOTE NAWEZA KUTOKA NAYE

Mwadada anayefanya poa sana kwenye tasnia ya Bongo Movies, Wema Sepetu. Makala - Bongo
Saphyna Mlawa
KATIKA orodha ya wanadada wanaofanya poa sana kwenye tasnia ya Bongo Movies, hata siku moja huwezi ukaacha kutaja jina la Malkia, Wema Sepetu ambaye alijipatia umaarufu kutokana na kazi nzuri tangu pale alipofanya muvi ya kwanza ‘The Point of No Return’ aliyoshilikishwa na marehemu Steven Kanumba na nyingine...

 

10 years ago

Michuzi

Msanii Davido kutoka nchini Nigeria kutumbuiza jukwaa moja na msanii T.I kutoka nchini Marekani tamasha la Fiesta 2014.


  Mwanamuziki kutoka nchini Marekani ajulikanae kwa jina la Kisanii T.I akizungumza na Waandishi wa Habari jioni ya leo kwenye moja ya ukumbi wa Sea Cliff hotel jijini Dar kuhusiana na onesho lake la kwanza atakalotumbuiza katika viwanja vya leaders Club,jijini Dar katika tamasha la Fiesta 2014,ambalo hufanyika kila mwaka mara moja,chini ya waandaji bingwa wa burudani hapa nchini kampuni ya Prime Time Promotions Lts sambamba na Clouds Media Group.. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani