MAKAMU WA RAIS DK. BILAL NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI 2014
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mohamed Ghalib Bilal amelipongeza wazo la Tamasha la Usiku wa Matumaini lililoandaliwa na Kampuni ya Global Publishers, jana kuwa ni zuri.
Alimpongeza Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo kwa kuandaa tamasha hilo kwani linaunganisha Watanzania wote.Mgeni rasmi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Ghalib Bilal akitoa hotuba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd ambao ndiyo waandaaji wa Tamasha la Usiku wa Matumaini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS DK. GHARIB BILAL NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI 2014
11 years ago
GPLMAKAMUZI YA SHILOLE NDANI YA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014
11 years ago
GPLMADEE AMTAFUTA ALIYEMWAGA POMBE YAKE NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI 2014
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*CrhWs4hARiBgbbr9vPCgs6p2RbJKZnEfiCoAZtRE-ZjdB88KrjXjl9jFU2g1KmBDf3qOIF*X8gUbSt-NMqcpjTv/YemiAlade2.jpg?width=650)
TAMASHA LA MATUMAINI 2014: STAA WA JOHNNY... EEE! KUTOKA NIGERIA NAYE NDANI
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AKABIDHI TUNZO YA RAIS YA MZALISHAJI BORA MWAKA 2014
10 years ago
Dewji Blog01 Jan
Makamu wa Rais Dkt. Bilal alihutubia kwenye tamasha la mkesha wa kuliombea taifa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi alipowasili Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana usiku Disemba 31, 2014/2015 kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la mkesha wa Mwaka Mpya na Dua maalum ya kuliombea Taifa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia Taifa kwenye Tamasha la Mkesha wa mwaka mpya wa 2015 iliyofanyika Disemba 31, 2014/2015 usiku wa kuamkia mwaka mpya...
10 years ago
Vijimambo02 Jan
Makamu wa Rais Dkt. Bilal alihutubia kwenye tamasha la mkesha wa kuliombea taifa
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_8405.jpg)
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_8445.jpg)
10 years ago
GPL![](https://1.bp.blogspot.com/-E-KaSUlmzJM/VGNk2plRs_I/AAAAAAAGwxc/Ny_Psyyo1PU/s640/unnamed%2B%2887%29.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MAZISHI YA RAIS SATA WA ZAMBIA NOV 11, 2014
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA TAMASHA LA BULABO KABILA LA WASUKUMA MKOANI MWANZA