TAMASHA LA MATUMAINI: KUMBE JOHNNY WAKE YUPO TEMEKE

Mdada anayemiliki jina la Yemi Alade anatarajiwa kuwepo ndani ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kufanya shoo siku ya Tamasha la Matumaini, Agosti 8, mwaka huu. Na Nassoro Gallu UNAPOZUNGUMZIA Nigeria katika ulimwengu wa muziki kwa sasa unazungumzia levo nyingine, jina la Yemi Alade ni moja ya majina ‘hot’, mdada anayemiliki jina hilo anajua kudansi, anajua kucheza na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
TAMASHA LA MATUMAINI... YEMI ALADE KUMSAKA JOHNNY UWANJA WA TAIFA
Na Nassor Gallu
MOSHI wa Burudani utafuka Agosti 8, mwaka huu pale tamasha kubwa linalojulikana kama Usiku wa Matumaini 2014 (Night of Hope) litakapomshusha mkali wa ngoma ya Johnny inayobamba katika redio na televisheni, Yemi Alade kutoka Nigeria. Katika tamasha hilo ambalo limekuwa likiwaunganisha Watanzania na kuchangia masuala ya elimu kupitia mapato ya mlangoni, mkali huyo kutoka Nigeria amepania kukata kiu ya burudani kwa...
11 years ago
GPL
TAMASHA LA MATUMAINI 2014: STAA WA JOHNNY... EEE! KUTOKA NIGERIA NAYE NDANI
Yemi Alade. IM looking for my Johnny
Where is my Johnny...
Johnny oooh
Do you know Johnny...question Kiitikio hicho ndiyo habari ya mjini kwa sasa na good news ni kwamba staa wa wimbo huo, Yemi Alade wa Nigeria anadondoka Bongo kwa mara ya kwanza kuungana na listi ndefu ya wasanii wa nyumbani kulipamba Tamasha la Usiku wa Matumaini, Agosti 8, mwaka huu… ...
10 years ago
Vijimambo
TAMASHA LA TUO8JANUARY LILIVYOBAMBA TEMEKE

Wakiongozwa na Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ pamoja na Niki wa Pili, wasanii aidi ya 10 waliwapagawisha mamia ya mashabiki waliojitokeza kwenye viwanja hivyo kupata burudani na elimu hiyo.
Akizungumza kabla ya kuimba nyimbo zake kali, Mwana FA akitumia tamasha hilo lililopewa jina la ‘Tuonane Januari’,...
11 years ago
GPL
TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 NI VITA
Umewahi kujiuliza nini kitatokea endapo waheshimiwa wabunge, Hamis Kigwangala wa Nzega na Mwigulu Nchemba wa Iramba Magharibi wakiziweka suti zao pembeni na kupanda ulingoni, nani atamkalisha mwenzake? Itakuwa vita! D.k Hamis Kigwangala mbunge wa Nzega. Basi hicho ndicho kitakachotokea kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalotimua vumbi Agosti 8, 2014 (Nane Nane) kwenye Uwanja wa Taifa ambapo waheshimiwa hao watanyukana...
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL
TAMASHA LA MATUMAINI 2014 FULL MSISIMKO
TAMASHA la Usiku wa Matumaini, Dar (Dar Night of Hope 2014) lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar lilikuwa ni full msisimko kutokana na matukio mbalimbali yaliyofanyika. Mgeni rasmi Dk.Mohamed Ghalib Bilal akikagua timu ya wabunge wa Simba. Makamu wa Rais Mh. Mohamed Gharib…
11 years ago
GPL
WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati), ambaye kampuni yake inaandaa tamasha hilo, akizungumza kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea.…
11 years ago
GPL
Azam, Mtibwa kunogesha Tamasha la Matumaini
Kikosi cha timu ya Azam, FC Na Khadija Mngwai
TIMU za Azam FC na Mtibwa Sugar, zinatarajiwa kunogesha Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Agosti 8, mwaka huu jijini Dar es Salaam kwa kushuka dimbani siku hiyo kuonyeshana ubabe. Tamasha hilo litahusishwa na burudani kibao ikiwa ni pamoja na mechi za Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa upande wa Simba na Yanga ambao wataonyeshana ubabe kwa kujua nani...
11 years ago
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania