Azam, Mtibwa kunogesha Tamasha la Matumaini
![](http://api.ning.com:80/files/826oIv68Xggnh*18xDXHvQco9DzbwxiVVLBDhl*Ls1YUPAr2jgEqbQSBJ7qYQPq-oZS*2l3Q7ZXFW245fw-1*VlOvISdbjtN/azam.jpg)
Kikosi cha timu ya Azam, FC Na Khadija Mngwai TIMU za Azam FC na Mtibwa Sugar, zinatarajiwa kunogesha Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Agosti 8, mwaka huu jijini Dar es Salaam kwa kushuka dimbani siku hiyo kuonyeshana ubabe. Tamasha hilo litahusishwa na burudani kibao ikiwa ni pamoja na mechi za Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa upande wa Simba na Yanga ambao wataonyeshana ubabe kwa kujua nani...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMTIBWA YAIKALISHA AZAM FC TAMASHA LA MATUMAINI 2014
11 years ago
GPLAZAM MEDIA WAMWAGA VIFAA VYA MICHEZO KWA AJILI YA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa
Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]
The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Rebecca Malope kunogesha Tamasha la Pasaka
Na Mwandishi Wetu
RAIA wa Afrika Kusini ambaye ni mwanamuziki wa injili, Rebecca Malope, amethibitisha kuwa mmoja wa waimbaji wa kimataifa watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka litakalofanyika nchini.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, sambamba na Malope, Afrika Kusini wanatarajia kutoka waimbaji wengine wawili ambao ni Solly Mahlangu na Sipho Makabane.
Msama alisema waimbaji wengine waliokubali kutumbuiza kwenye tamasha hilo ni pamoja na Ephraim...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gH7eSDc9r-w/VCROYu9m0MI/AAAAAAAGlzI/WP4egFUiDMw/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
UTANDAWAZI GROUP KUNOGESHA TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO
KUNDI maalufu la ngoma asili la Utandawazi Theater Group ‘Matwigachallo’ jioni ya kesho wanatarajiwa kuwasha moto wa aina yake kwenye tamasha la Kimataifa la 33 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, lililoanza Septemba 22 mwaka huu kwenye viunga vya chuo hicho.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa tamasha hilo, Abmic am Bafadhil ‘Bura’ alieleza kuwa, kundi hilo ambalo kwa sasa limejizolea umaalufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, linatarajiwa kutoa burudani ya ngoma za asili...
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Vyakula vya asili kunogesha Tamasha la Handeni Kwetu
BAADHI ya vyakula vya asili ya Handeni, vinatarajiwa kuwapo katika Tamasha la Utamaduni la Handeni Kwetu 2013 linalotarajiwa kufanyika Jumamosi kwenye viwanja vya Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Akizungumza mjini...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WYLg8ukooAQ/Vlf_9qngn0I/AAAAAAADC48/PEQqn-nlwxg/s72-c/3.jpg)
ROSE MUHANDO KUNOGESHA TAMASHA LA KUSHUKURU DIAMOND JUBILEE
![](http://4.bp.blogspot.com/-WYLg8ukooAQ/Vlf_9qngn0I/AAAAAAADC48/PEQqn-nlwxg/s640/3.jpg)
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa matamasha ya muziki wa injili nchini Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam wakati alipofafanua mambo mbalimbali kuhusu maandalizi ya tamasha la kushukuru baada ya kufanyika na kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania salama salimini.
Msama amesema maandalizi yanaendelea vizuri na amemtangaza rasmi mwimbaji Rose Muhando kama mmoja wa waimbaji wa muziki wa injili watakaoshiriki katika tamasha hilo, ...
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Msanii Tekno Miles kunogesha tamasha la Johnnie Walker
9 years ago
Mtanzania11 Dec
Banana Zorro, Mzungu Kichaa kunogesha Tamasha la ‘The Beat’ leo
NA MWANDISHI WETU
TAMASHA la ‘The Beat’ lenye lengo la kukutanisha wasanii na wadau mbalimbali wa muziki ndani na nje ya nchi linatarajiwa kufanyika leo katika ukumbi wa Paparazzi Bistro Club – Slipway, jijini Dar es Salaam.
Katika tamasha hilo jipya baadhi ya wasanii watakaolinogesha ni pamoja na mkali wa Bongo Fleva, Mzungu Kichaa, mkali wa nyimbo za asili, Samweli Hokororo, Ifa Band na mwanamuziki Banana Zorro, ambao watatumia bendi kupiga muziki wa moja kwa moja.
Wasanii wote...