Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wengi hutumia vipodozi sumu

Taasisi ya Evirocare ya jijini hapa imesema kuwa asilimia 52 ya Watanzania hutumia vipodozi vyenye sumu wengi wao wakiwa wanawake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

Wengi wanaathirika na maji ya sumu

Chanzo cha maji Luhira ambacho wakulima wanafanya uchafuzi kwa kupulizia kemikali za sumu kwenye mashamba yao ya nyanya. Na Albano Midelo WATU wanaoishi katika Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma wapo katika hatari ya kukumbwa na magonjwa mbalimbali na hata kupoteza maisha kutokana na kutumia maji ya Mto Luhira ambao umechafuliwa kwa kemikali mbalimbali. Luhira ni chanzo cha Mto Ruhuhu ambao unamwaga maji yake Ziwa Nyasa. Mto Luhira unaanzia kwenye Milima ya Matogoro iliyopo nje kidogo ya Mji...

 

10 years ago

GPL

OYA MASELA SHIDA INGEKUWA SUMU TUNGEDEDI WENGI!!

Wakubwa shikamooni…wadogo hamjambo? Masela nianje…niaje wanyama wangu wa nguvu? Mzuksi? Hapo Dom barida? Kitaa hii ni mpango mzima arifu! Ama nini? Basi sawa. Kanyaga twende! Mastori ya ebola piga dauni bati tumwombe Saa Godi atuepushe na msala huo. Ebana kuna kichaa wangu mmoko amenifuata, akaniteli kuwa anamaindi kuondoa kitambi kozi kinamkosesha piisi kwa mashori. Mtu mzima nimemshauri achukue mkopo benki, anunue...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Makatibu wakuu hutumia mafuta ya Sh400,000 kwa siku’

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Mariam Msabaha amesema makatibu wakuu wa wizara kila mmoja anatumia Sh400,000 kwa siku kwa ajili ya mafuta ya magari yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini baadhi ya watu mashuhuri hutumia dawa na kujidhuru ?

Kuna methali ya visiwani Haiti isemayo mtu mdogo hufanya analomudu ilihali mkubwa hufanya atakavyo.

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA TAKRIBANI MILIONI 3.3 HUTUMIA HUDUMA ZA KIBENKI - BENNO NDULU‏

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu akikata utepe kuzindua kitabu cha ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi uliofanyika leo Aprili 2, 2014 katika ukumbi wa Makao Makuu ya Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu akikata utepe kuzindua kitabu cha ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi uliofanyika… ...

 

10 years ago

Bongo5

Barnaba aeleza kwanini hutumia muda mfupi kuandika nyimbo zake

Barnaba amesema kuandika nyimbo zake kwa muda mfupi tu ni kipaji alichopewa na Mungu. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa humchukua dakika 30 tu kuandika nyimbo zake au za wasanii wengine. “Unajua nyimbo zangu huwa naandika kwa kutumia dakika chache sana kama wimbo wangu huu mpya niliandika kwa kutumia dakika 30 lakini zingine zote huwa ni […]

 

11 years ago

Bongo5

Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9

Power couple ya Tanzania, Diamond Platnumz na Wema Sepetu ndio inayoongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Hii ni orodha kamili (July 31,2014) 1.Diamond Platnumz 183,205 2.Wema Sepetu 168,954 3.Elizabeth ‘Lulu’ Michael 129,047 4.Jokate Mwegelo 102,168 5.Millard Ayo 102,068 6.Jacqueline Wolper 99,545 7. Ommy Dimpoz 95,415 8.Aunty Ezekiel 94,379 9.Kajala 88,769 […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani