Wengi wamkubali Majaliwa
Wabunge, wasomi na wananchi wa kada mbalimbali nchini wamesifu uteuzi wa mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu, lakini baadhi wamepinga wakisema hataweza kuendana na kazi ya Rais John Magufuli. Jana Bunge lilimpitisha Majaliwa, ambaye alikuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu akishughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, kuwa Waziri Mkuu baada ya jina lake kupendekezwa na Dk Magufuli.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM Blog
PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA


9 years ago
Habarileo12 Dec
Tahliso wamkubali Magufuli
SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (Tahliso) wamepongeza hatua ya Serikali ya Rais John Magufuli kuongeza idadi ya wanafunzi ambao wamepata mikopo ya elimu ya juu kutoka wanafunzi 34,128 mwaka jana hadi kufikia wanafunzi 53,032 mwaka huu.
10 years ago
Habarileo31 Jul
Wasomi vyuo vikuu wamkubali Magufuli
SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania limemwelezea mgombea wake wa urais, Dk John Magufuli kuwa ana uwezo mkubwa wa kusimamia masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kitaifa, hivyo anafaa kupeperusha bendera ya CCM.
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Sababu zaidi ya 3 zinazofanya Rwanda wamkubali Rais Paul Kagame
Rwanda ni nchi ambayo ina watu zaidi ya milioni kumi ambapo moja kati ya sababu zilizofanya Rwanda wamkubali zaidi na hata kumpa kura nyingi za ndio kwenye mchakato wa kubadili utaratibu wa Rais kugombea Mihula zaidi ya miwili. Rais Kagame aliwahi kugawa Ng’ombe kwa Wananchi mbalimbali ili wajikwamue kwenye umasikini, bonyeza play hapa chini kuzipata sababu […]
The post Sababu zaidi ya 3 zinazofanya Rwanda wamkubali Rais Paul Kagame appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Michuzi
WANANCHI WA MASASI WAMKUBALI MAGUFULI,WAJITOKEZA KWA WINGI BARABARANI KUMLAKI


9 years ago
Michuzi
Waziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho

Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa 4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
9 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KWENYE MCHAPALO WA KUZINDUA BUNGE


9 years ago
Michuzi
9 years ago
CCM Blog
MHE.MAJALIWA KASSIM MAJALIWA APATA ZAIDI YA ASILIMIA 73.5%

Apigiwa kura 258Zilizoharibika ni kura 2Kura za hapana 91
Waziri Mkuu Mteule Majaliwa Kassim Majaliwa apata asilimia 73.5 ya kura zilizopigwa na wapunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.