Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wengi washuhudia mwezi usio wa kawaida

Watu wengi kote duniani wamekuwa wakitazama tukio la kawaida la kupatwa kwa mwezi ambalo limetokea wakati mmoja na kuonekana kwa mwezi mkubwa angani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi ugonjwa usio wa kawaida aina ya kawasaki unavyoathiri watoto

"Hilo halistahili kufanya wazazi wasiwaruhusu watoto kutoka nje."

 

10 years ago

Raia Mwema

Lowassa: Hali isiyo ya kawaida huibua hatua zisizo za kawaida

WIKI iliyopita niliandika kusema kwamba Edward Lowassa kuhama kutoka chama kilichomlea ilikuwa ni

Jenerali Ulimwengu

 

11 years ago

Michuzi

wadau washuhudia kombe la dunia Brazil

 Hawa ni sehemu ya Wadau kadhaa wa Kitanzania walioko Brazil kushuhudia Kombe la dunia. Hapa ni katika mchezo wa ufunguzi kati ya Wenyeji Brazil na Croatia katika uwanja wa Arena Sao Paulo. Hongera wadau kwa kutuwakilisha!

 

11 years ago

GPL

MAMIA WASHUHUDIA UZINDUZI WA Efm SINZA KINONDONI

Manzese Crew wakifanya yao. Mchekezaji Mkude Simba akiwa kwenye pozi la teja. Mwandishi wa Global Publishers, Gabriel Ng’osha, akiwa katika uzinduzi wa radio hiyo.…

 

11 years ago

GPL

WAKAZI WA SONGEA WASHUHUDIA BURUDANI YA KILI MUSIC TOUR

Wakazi wa Songea wakishuhudia burudani toka kwa wakali wa muziki nchini katika tamasha la Kili Music Tour katika uwanja wa Majimaji Songea.
Diamond Platnumz akithibitisha…

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba na Jokate washuhudia mtanange wa Simba na Yanga pamoja

Alikiba na Jokate Mwegelo waligeuka kuwa kama kumbi kumbi weekend hii baada ya kuungana pamoja kushuhudia mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Alikiba na Jokate wakitoka katika uwanja wa Taifa Jokate ambaye anaonekana kuwa ni shabiki wa Yanga iliyoibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi […]

 

10 years ago

Vijimambo

Vijana kutoka Dar washuhudia Coke Studio ‘live’ Nairobi.

Vijana kutoka Tanzania wakiawa katika picha ya pamoja na msanii kutoka Marekani Ne-Yo wakati wa onyesho la Coke Studio Afrika msimu wa tatu lililofanyika hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya. Msanii wa bongo fleva Ali Kiba akiwa na msichana wa kitanzania Patricia Kajange wakati wa onyesho la Coke Studio Afrika msimu wa tatu lililofanyika hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya. Msanii wa bongo fleva Ali Kiba akiwa na msichana wa kitanzania Barbara Mawalla wakati wa onyesho la Coke Studio Afrika...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tukumbushane utatu usio mtakatifu

NIMEPATA kuandika kupitia safu hii mwaka 2008.

Maggid Mjengwa

 

11 years ago

Michuzi

WAREMBO MISS TANZANIA WASHUHUDIA UPIMAJI WAGONJWA WA EBOLA UWANJA WA NDEGE WA KIA

 Washiriki wa Shindano la Redd's Miss Tanzania 2014, wakimsikiliza Afisa Mfawidhi, Nisalile Mwangoka aliyekuwa akiwapa maelezo juu ya upimaji wa wageni wanao ingia nchini kupitia viwanja vya ndege unavyofanyika kutumia mashine maalum iitwayo 'Walk Through Thermoscaner', iliyopo uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wakati warembo 30 wanaowania taji la Miss Tanzania walipotembelea uwanja huo na kujifunza mambo mbalimbali . Warembo hao wapo katika ziara ya kuhamasisha utalii wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani