Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenyeviti CCM watishia kuhama

WENYEVITI wa serikali za mitaa nane kati ya 11 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Manispaa ya Morogoro wametishia kujitoa katika chama hicho endapo chama hicho hakitamuomba radhi Diwani wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAMKO LA WENYEVITI WA CCM-MIKOA LA KUMPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHAMAN OMAR KINANA NA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA

Mgana Izumbe Msindai – Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM wa Mikoa akitoa tamko hilo kwenye makao makuu ya Chama Chama Mapinduzi Ofisi ndogo Lumumba jijini Dar es salaam leo,kulia ni Haji Juma Haji – Makamu Mwenyekiti Wa Wenyeviti Mikoa na kushoto ni Lucas Ole Mukusi – Katibu wa Wenyeviti Mikoa. ................................................................................................................ Sisi...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI DR. MAHIGA DAWA SI KUHAMA CCM ASEMA YEYE NI MKOMBOZI WA CCM IRINGA MJINI.


Balozi Dr Mahiga -Iringa mjini.
Na matukiodaimaBlogALIYEKUWA balozi wa kudumu  wa umoja  wa mataifa (UN) na mgombea urais katika mchakato  wa ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) balozi Dr Augustono Mahiga anayeomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia CCM amewashangaa makada  maarufu wa chama  hicho  walioshindwa katika mchakato wa ndani ya chama kwa nafasi ya urais kuhama chama hicho kuwa hao hawakuwa na mapenzi ya kuwatumikia  watanzania na kuwa watazunguka kote ila...

 

9 years ago

Mtanzania

Viongozi wazidi kuhama CCM

Chama-Cha-MapinduziSafina Sarwatt (Kilimanjaro) na Eliya Mbonea (Monduli)

IDADI ya viongozi wanaohama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kwenda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imezidi kuongezeka na jana Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Paul Matemu pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa chama hicho, Fredrick Mushi, walitangaza kuchukua uamuzi huo, wakifuata nyayo za Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.

Jana hiyo hiyo mabalozi 110 wa nyumba 10, makatibu wa tawi wanne, wajumbe...

 

10 years ago

Mtanzania

CCM Handeni watishia kutomnadi mgombea ubunge

NA MWANDISHI WETU, TANGA

WAGOMBEA 15 waliojitokeza kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Handeni Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametishia kutomnadi mgombea aliyeshinda kura za maoni, John Saru, kwa madai kuwa ushindi wake ulitokana na uchakachuaji wa matokeo akisaidiwa na uongozi wa wilaya.

Walisema iwapo ataidhinishwa na vikao vya juu vya chama kupambana na wagombea wengine wa vyama vya upinzani, hawatampa ushirikiano badala yake watamuunga mkono mgombea wao wa nafasi ya...

 

9 years ago

Habarileo

Mzindakaya asema kuhama CCM ni fedheha

MWANASIASA mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya amesema kuwa kwake ni fedheha kubwa kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwani itakuwa sawa na kulamba matapishi yake mwenyewe.

 

11 years ago

Michuzi

SITTA ATANGAZA MAJINA YA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI KAMATI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

N a Magreth Kinabo ,Dodoma Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Samwel Sitta leo (jana), ametangaza majina ya wenyeviti na makamu wenyeviti wa Kamati za bunge hilo.  Majina hayo yametangazwa na Mwenyekiti huyo  baada ya uchaguzi wa viiongozi hao uliofanyika  (jana) Machi 24 , mwaka  2014 mjini  Dodoma . Mwenyekiti ametangaza majina haya baada ya kuunda kamati hizo  jana kwa mujibu wa kanuni ya 54 (1) ya kanuni za Bunge Maalum za Mwaka 2014 ambazo zimetungwa chini ya kifungu cha 26...

 

10 years ago

Habarileo

Sendeka asema hana mpango kuhama CCM

MBUNGE wa Simanjiro Christopher ole Sendeka amekanusha habari zilizosambaa mitandaoni kuwa anahamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kusema kuwa habari hizo hazina tija na ni upotoshaji wa jamii na kuwa yeye atabakia kuwa muumini wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hajaona chama mbadala.

 

10 years ago

Mwananchi

Wenyeviti watatu CCM waachia ngazi

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM), Manispaa ya Bukoba, Chifu Karumuna amebwaga manyanga na kujiunga na Chadema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani