Western Jazz ilivyotesa na mtindo wa Saboso katika muziki
Bendi ya Western Jazz ilikuwa kongwe miongoni mwa bendi za wakati wake na ilianzishwa mwaka 1959, kabla ya nchi yetu haijapata Uhuru.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili21 Apr
Watoto na muziki wa Jazz, Kenya
9 years ago
Bongo526 Nov
Mc Koba aeleza sababu za kuamua kutumia mtindo wa mchiriku na mdundiko kwenye muziki wake
![koba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/koba-300x194.jpg)
Aliyewahi kuwa muimbaji wa kundi la zamani la Watu Pori kutoka Morogoro, Mc Koba amesema ameamua kufanya mabadiliko kidogo katika style ya muziki wake ili kwenda sawa na matarajio ya wengi ambao hupenda kuona mabadiliko kutoka kwa wasanii ambao wako kwenye game kwa muda mrefu.
Akizungumza kupitia E Newz ya EATV, Koba ametoa sababu nyingine ya kuamua kufanya aina ya muziki wenye mchanganyiko wa mdundiko na mchiriku.
“Kwanini nimeamua kufanya mtindo huu aina ya mchanganyiko wa mdundiko na...
10 years ago
Michuzi01 Nov
10 years ago
Mwananchi23 Feb
Makonda aapishwa rasmi, aja na mtindo wa STK katika utendaji
10 years ago
Michuzi10 Dec
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Mr. Blue: Ndoa ina neema katika muziki
NA THERESIA GASPER
MSANII wa kizazi kipya nchini, Khery Sameer ‘Mr Blue’, amewaeleza wasanii wenzake ambao hawajaolewa na wale wasiooa kwamba ndoa ina neema kubwa kimuziki hivyo watimize jambo hilo mapema.
“Inasikitisha vijana wengi wake kwa waume waliofikisha umri wa kuoa na wale wa kuolewa wanakwepa kutimiza ndoa wakihofu kupotea kimuziki lakini nawaeleza kwamba ndoa ina uhusiano mzuri na mafanikio ndiyo maana wengi waliooana wanafanya vizuri katika mambo yao,” alieleza Mr...
10 years ago
GPLJOH MAKINI: TUKUBALI KUKOSELEWA KATIKA MUZIKI
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
H BABA: Mwanasoka anayetikisa katika muziki ‘Takeu’
WAHENGA walisema: ‘Mshika mbili moja humponyoka’. Ni usemi unaotumiwa na kuitahadharisha jamii kutoshiriki masuala mawili kwa wakati mmoja, kwani kuna uwezekano mkubwa wa kutofanikiwa yote. Ni sawa na kusema: ‘Mtaka...
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Vee Money azungumzia fitina katika muziki