Makonda aapishwa rasmi, aja na mtindo wa STK katika utendaji
Licha ya baadhi ya watu kubeza uteuzi wake, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ameapishwa leo jijini Dar es Salaam na kusema kuwa atatekeleza majukumu yake kwa mtindo alioupa jina la STK, akimaanisha atafuata Sheria, Taratibu na Kanuni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL
MAKONDA AJA NA KAMPENI YA SUKUMA TWENDE
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakichukua tukio. Makonda akionesha kipeperushi kilichoelekeza namna ya kujiunga na huduma hiyo ya utoaji taarifa kwa njia ya simu za mkononi.…
10 years ago
Michuzi
Paul Makonda aapishwa leo kuwa mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni

9 years ago
Michuzi
WATENDAJI WA MANISPAA YA KINONDONI KUFUATILIWA UTENDAJI WAO —MAKONDA

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imeanzisha utaratibu kwa wananchi kutoa malalamiko juu ya watoa huduma katika manispaa hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema kuwa kuna watendaji wanashindwa kufanya kazi ambazo waliziomba na kuifanya serikali ionekane ni kikwazo kwa wananchi wake.
Amesema kuwa baadhi ya wafanyakazi wanachelewesha kutoa huduma ili kutengeneza mfumo wa kupata rushwa...
10 years ago
VijimamboDC MAKONDA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MWANANYAMALA NA PALESTINA KUANGALIA UTENDAJI KAZI
11 years ago
BBCSwahili07 Jun
Rais wa Ukraine aapishwa rasmi
Rais mpya wa Ukraine tajiri Petro Poroshenko ameapishwa rasmi hii leo katika sherehe iliyofanyika mjini Kiev.
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Mwenyekiti aliyejiapisha sasa aapishwa rasmi
Wakati Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani-Segerea, Dar es Salaam, Japhet Kembo, aliyejiapisha kwa kutumia wakili binafsi akiapishwa tena jana na wakili aliyechaguliwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi ameonya vitendo vya wadau wa siasa kujichulia sheria mikononi na kuwataka wafuate sheria na taratibu.
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Rais John Magufuli aapishwa rasmi Tanzania
John Pombe Magufuli sasa ndiye rais mpya wa taifa la Tanzania baada ya kuapishwa rasmi kufuatia ushindi wake wa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu uliopita.
9 years ago
Mwananchi05 Nov
DK Magufuli aapishwa rasmi kuongoza serikali ya awamu ya tano
Rais Mteule John Magufuli leo ameapishwa kuwa rais awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kusema anafahamu majukumu makubwa aliyonayo kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania