Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti aliyejiapisha sasa aapishwa rasmi

Wakati Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani-Segerea, Dar es Salaam, Japhet Kembo, aliyejiapisha kwa kutumia wakili binafsi akiapishwa tena jana na wakili aliyechaguliwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi ameonya vitendo vya wadau wa siasa kujichulia sheria mikononi na kuwataka wafuate sheria na taratibu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MO DEWJI AAPISHWA RASMI MBELE YA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA


Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Singida mjini, Ndg. Mohammed Dewji (wa pili kushoto) akiteta jambo na baadhi ya Wajumbe wenzake wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo wakati wa sherehe fupi za kuapishwa kwa wajumbe hao. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Singida mjini, Ndg. Mohammed Dewji akielekea kula kiapo cha kulitumikia Taifa Bunge la Katiba.
Mjumbe wa Bunge...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti Bunge la #Katiba tayari, kazi sasa kuanza rasmi? [VIDEO]

Tazama jinsi wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba walivyomchagua Spika wa Zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta kuwa Mwenyekiti wao wa Kudumu.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete aapishwa kuwa mwenyekiti EAC

Rais Jakaya Kikwete amekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua jukumu hilo kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta aliyemaliza muda wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti Serikali ya Mtaa Segerea aapishwa na wakili binafsi

Baada ya kusubiri kwa muda wa wiki mbili ili wajumbe serikali ya mtaa wa Migombani-Segerea waapishwe na mamlaka husika bila mafanikio, wananchi wameamua kuwaapisha viongozi hao kwa kutumia wakili binafsi.

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA MTAA ALIYESHINDA SEGEREA JIJINI DAR ES SALAAM AAPISHWA KIAINA

Japhet Kembo (Chadema) akila kiapo cha kuwa mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Migombani kata ya Segerea wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam mbele ya wakili wa kujitegemea Idd Msawanga (mwenye suti nyeusi) leo Jumatatu Januari 19, 2015 nje ya ofisi hizo, jijini Dar es Salaam, tukio hilo ni la aina yake kwani kiutaratibu, mshindi huapishwa katika hafla inayoandaliwa na halmashauri ya wilaya husika. Hata hivyo, kumekuwepo na mizengwe ya kuapishwa kwa Japhet, ambapo viongozi wenzake kutoka kata...

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais wa Ukraine aapishwa rasmi

Rais mpya wa Ukraine tajiri Petro Poroshenko ameapishwa rasmi hii leo katika sherehe iliyofanyika mjini Kiev.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais John Magufuli aapishwa rasmi Tanzania

John Pombe Magufuli sasa ndiye rais mpya wa taifa la Tanzania baada ya kuapishwa rasmi kufuatia ushindi wake wa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu uliopita.

 

9 years ago

Mwananchi

DK Magufuli aapishwa rasmi kuongoza serikali ya awamu ya tano

Rais Mteule John Magufuli leo ameapishwa kuwa rais awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kusema anafahamu majukumu makubwa aliyonayo kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani