Mwenyekiti Serikali ya Mtaa Segerea aapishwa na wakili binafsi
Baada ya kusubiri kwa muda wa wiki mbili ili wajumbe serikali ya mtaa wa Migombani-Segerea waapishwe na mamlaka husika bila mafanikio, wananchi wameamua kuwaapisha viongozi hao kwa kutumia wakili binafsi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-1HaA1BszoXI/VL0ipWuNWXI/AAAAAAAAPMM/ARmGnrHZ0TI/s72-c/kiapo%2Bmwenyekiti.jpg)
MWENYEKITI WA MTAA ALIYESHINDA SEGEREA JIJINI DAR ES SALAAM AAPISHWA KIAINA
![](http://3.bp.blogspot.com/-1HaA1BszoXI/VL0ipWuNWXI/AAAAAAAAPMM/ARmGnrHZ0TI/s640/kiapo%2Bmwenyekiti.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-nJLpogASdOs/VUkzgC-z1lI/AAAAAAAHVnM/XNH-On_nU34/s72-c/IMG-20150505-WA032.jpg)
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay aanza kutekeleza ahadi
![](http://1.bp.blogspot.com/-nJLpogASdOs/VUkzgC-z1lI/AAAAAAAHVnM/XNH-On_nU34/s640/IMG-20150505-WA032.jpg)
10 years ago
MichuziUCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI
Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog.Hali ya kushtusha imetokea katika uchaguzi wa Serikali ya Mtaa wa Migombani baada ya Afisa Mtendaji kufika na kutangaza kimyakimya Kuwa UChaguzi huo umesitishwaMara baada ya wakazi wa mtaa wa migombani kusikia ndipo walipoanza sasa kutafuta mchawi na kumtia nguvuni afisa mtendaji huyo wa mtaa kwa kutaka kujua sababu za msingi zinazopelekea yeye kuja kutangaza kusitisha uchaguzi huo.Afisa mtendaji huyo baada ya kuulizwa sababu za msingi alijitetea kuwa...
10 years ago
VijimamboUCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI MARA BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI
10 years ago
GPLUCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI MARA BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI
Wakazi wa Mtaa wa Migombani, Uliopo Katika kata ya Segerea Manispaa ya Ilala Jijini Dar Es Salaam wakiwa wamelizunguka gari la Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea aliyefika majira ya saa tisa kamili mchana huu na kutangaza kusitisha uchaguzi wa serikali ya mitaa kimya kimya. Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea (katikati mwenye shati la draft) akiwa kawekwa mtukati mara baada ya kuja na kutaka kusitisha uchaguzi bila sababu ya...
10 years ago
Michuzi14 Dec
JUST IN: MGOMBEA CHADEMA ASHINDA UIENYEKITI MTAA WA MIGOMBANI SEGEREA DAR ES SALAAM
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani Kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Bw. Japhet Kembo akifurahia huku akipongezwa na wanachama na wapenzi wa Chadema mara baada ya kuibuka mshindi wa Kiti cha Mwenyekiti kwa Kupata Kura 510 huku CCM wakiwa wamepata kura 215 na NCCR kupata kura 205
Mawakala wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Migombani wakihesabu kura ambapo sanduku hilo ndio lilikuwa sanduku la mwisho kuhesabiwa katika Kituo...
10 years ago
VijimamboMGOMBEA CHADEMA MTAA WA MIGOMBANI SEGEREA, JAPHET KEMBO AWAGARAGAZA WAPINZANI WAKE KWA KUPATA KURA 510
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Mwenyekiti aliyejiapisha sasa aapishwa rasmi
Wakati Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani-Segerea, Dar es Salaam, Japhet Kembo, aliyejiapisha kwa kutumia wakili binafsi akiapishwa tena jana na wakili aliyechaguliwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi ameonya vitendo vya wadau wa siasa kujichulia sheria mikononi na kuwataka wafuate sheria na taratibu.
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Rais Kikwete aapishwa kuwa mwenyekiti EAC
Rais Jakaya Kikwete amekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua jukumu hilo kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta aliyemaliza muda wake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania