Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEZI WAVAMIA WAPORA MMOJA AKAMATWA

Na John Gagarini, KibahaHUKU ikiwa imepita wiki moja ya tukio ambalo lilisababisha kifo cha mfanyabiashara wa Jijini Dar es Salaam  Mahoro Mlelwa kupigwa risasi na majambazi na kufa eneo la Maili Moja wilayani Kibaha watu wanaodhaniwa kuwa ni wezi wakiwa na silaha za jadi wamevamia maduka na kupora.
Watu hao walivamia maduka hayo baada ya kupiga baruti kwa lengo la kuwatisha watu ili waweze kufanikisha wizi huo.Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana mjini Kibaha kaimu kamanda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wezi wavamia nyumba ya Di Maria

Kiungo wa kati wa Manchester United Angel Di Maria ndio mwathiriwa wa hivi karibuni wa wizi wa kutumia mabavu.

 

11 years ago

Mwananchi

Majambazi waua mmoja, wapora

Mtu mmoja anayedaiwa kuwa raia wa Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi, ambao pia walipora mali zenye thamani ya zaidi ya Sh.30 milioni.

 

11 years ago

BBCSwahili

Masalia TZ:Mshukiwa mmoja akamatwa

Polisi nchini Tanzania wanachunguza kisa ambapo masalia ya viungo vya binadamu yalipatikana yametupwa mjini Dar es Salaam

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanaume mmoja akamatwa kwa kuhatarisha maisha ya watu

Jamaa mmoja Ujerumani ,amekamatwa kwa kujaribu kutekeleza mauwaji

 

10 years ago

Mwananchi

Unyanyasaji wa kijinsia “Tuwatume wezi wawakamate wezi wenzao”

Kuna usemi wa wahenga usemao “mchawi mpe mwana alee”. Usemi huu una maana kwamba ili umbane na mtu unayehisi ni adui yako, kuwa naye karibu.

 

11 years ago

Dewji Blog

WAZIRI Muhongo amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo kulipwa fidia ni wezi sawa na wezi wa maofisini wa mali za Umma

DSC07688

Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Mwingulu Nchemba, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.Wa kwanza kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda.

Na.Nathaniel Limu-Singida

WAZIRI  wa NIishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (MB), amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo ili waweze kulipwa fidia wakati hawastahili, ni wezi sawa na...

 

5 years ago

Michuzi

UVUTAJI WA TUMBAKU UNA ATHARI KIUCHUMI WA MTU MMOJA MMOJA ANAYETUMIA


Na WAMJW-Dodoma

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema Tanzania kama nchi nyingine za Kiafrika wavutaji wa tumbaku wako hatarini kuyumba kiuchumi na kupata magonjwa yasiyoambukizwa kama tahadhari hazitachukuliwa mapema.

Waziri Ummy amesema hayo leo wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa matumizi ya tumbaku kwa watu wazima wa mwaka 2018 nchini uliofanyika mapema leo katika Ukumbi wa Takwimu jijini Dodoma.

Waziri Ummy amesema utafiti huo umeonesha...

 

10 years ago

Habarileo

Majambazi waua, wapora

WATU wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wanatuhumiwa kumwua mtu mwenye umri kati ya miaka 35 na 40 ambaye jina lake halikuweza kufahamika na kumjeruhi mwingine. Tukio hilo lilifanyika kwenye maduka yaliyopo kwenye Stendi Kuu ya Maili Moja wilayani Kibaha, jirani na kituo cha Polisi baada ya watu hao kufanya tukio la uhalifu.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kujenga barabara za mkoa mmoja mmoja

Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson LwengeSERIKALI imesema baada ya kukamilisha ujenzi wa barabara zinazounganisha mikoa mbalimbali nchini, itashughulikia barabara za mkoa mmoja mmoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani