Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanaume mmoja akamatwa kwa kuhatarisha maisha ya watu

Jamaa mmoja Ujerumani ,amekamatwa kwa kujaribu kutekeleza mauwaji

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tanesco yalalamikiwa kuhatarisha maisha

WAKAZI wa Kikuyu Maghorofani mkoani Dodoma, wamelilalamikia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Dodoma kwa kuhatarisha maisha yao kutokana na kuwepo nguzo za umeme zilizooza. Wakazi hao walitoa malalamiko...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wasichana Pakistan: Mwanaume akamatwa kwa kuua binamu zake juu ya video tatanishi'

Polisi wamemkata mwanaume anayeshukiwa kutekeleza mauaji ya wanawake wawili vijana nchini Pakistan baada ya video kusambaa mitandaoni inayomuonesha mwanaume mmoja akiwabusu.

 

5 years ago

Michuzi

HUSHPUPPI AKAMATWA KWA KUTAPELI WATU MILIONI 1.9 DUNIANI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVRAMON Olorunwa Abass raia wa Nigeria anayeshutumiwa kwa makosa ya udanganyifu amekamatwa akiwa na genge lake wakiwa wamepumzika katika makazi yao huko Dubai, kupitia ukurasa wa Twitter wa polisi Dubai, wamechapisha taarifa na video iliyokuwa inaonesha tukio la ukamtwaji wao.
Abbas ambaye anafahamika zaidi kwa jina la Hushpuppi amekamatwa mapema mwezi Juni akiwa na Olalekan Jacob Ponle marufu kama Woodberry na wengine 10.
Washukiwa 12 wamekamatwa kwa makosa ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mtu Mmoja apoteza maisha kwa Mafuriko jijini Dar

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwepo kwa mtu mmoja mwanaume aliyetambulika kwa jina la EXAVERY S/O MICHAEL, Miaka 19, Mkazi wa Kingugi Mbagala, aliefariki dunia baada ya kusombwa na maji wakati akiwa katika harakati za kuvuka mto Kizinga, na kufikia idadi ya Watu 13 waliopoteza maisha jijini Dar es Salaam kutokana na athari ya mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha. 
Tukio hili lilitokea tarehe 13/05/2015 majira ya saa nane kamili mchana huko...

 

11 years ago

Michuzi

Mtuhumiwa aliyesakwa na Polisi kwa mauaji ya watu wanane Tarime akamatwa Tanga


Jambazi kuu anayetuhumiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na unyanganyi wa kutumia silaha yaliyo tokea Wilayani Tarime kuanzia 26 hadi 28.01.2014 amekamatwa na jeshi la polisi jioni ya Tarehe 06.02.2014 mkoani Tanga. 
Akisimulia kukamatwa kwa jambazi huyo Kamanda wa mkoa wa kipolisi Tarime/Rorya Justus Kamugisha amesema kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa jioni ya Tarehe 06.02.2014 majira ya saa 1.30 na katika mahojiano ya awali ya jeshi la polisi mtuhumiwa huyo alikiri kuhusika na matukio ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Masalia TZ:Mshukiwa mmoja akamatwa

Polisi nchini Tanzania wanachunguza kisa ambapo masalia ya viungo vya binadamu yalipatikana yametupwa mjini Dar es Salaam

 

10 years ago

Vijimambo

Hakuna Mwanaume Rijali Anayeweza kuwa na Mwanamke Mmoja tu

Kwa wale nitakaowakwaza naomba mniwie radhi lakini kweli hata mimi hainipendezi kuyasema haya ila ni vema tu niwaeleze dada zangu kwasababu ukweli unaoumiza ni bora, kuliko uongo unaofurahisha.Hakuna mwanaume riijali anayeweza kuwa na mwanamke mmoja, eidha awe ameoa au hata kama hajaoa. Hakuna mwanaume wa aina hiyo Karne hii, usijidanganye kukimbilia kwenye ndoa ukiamini kwamba baada ya kuolewa utajimilikisha huyo mwanaume aliyekuoa, never.
"Mchele mmoja mapishi mbalimbali", utakuta wewe...

 

9 years ago

StarTV

Polis Mara lamshikilia Mwanaume mmoja kwakumbaka binti yake

Jeshi la polisi wilayani bunda linamshikilia mwanaume mmoja kwa tuhuma za kumbaka binti yake wa kuzaa ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi

Afisa tarafa ya chamriho, bw. Boniphace maiga, amemtaja mwanaume huyo kuwa ni athuman jeck mkazi wa kijiji cha mariwanda, kata ya hunyari wilayani hapa.

Amesema kuwa mwanaume huyo alimfanyia unyama huo binti yake wakati mke wake akiwa amekwenda kwenye biashara, zake ambapo anadaiwa kumfungia ndani ya nyumba yao na kuanza kumbaka.

Baada ya kitendo hicho...

 

11 years ago

Michuzi

WEZI WAVAMIA WAPORA MMOJA AKAMATWA

Na John Gagarini, KibahaHUKU ikiwa imepita wiki moja ya tukio ambalo lilisababisha kifo cha mfanyabiashara wa Jijini Dar es Salaam  Mahoro Mlelwa kupigwa risasi na majambazi na kufa eneo la Maili Moja wilayani Kibaha watu wanaodhaniwa kuwa ni wezi wakiwa na silaha za jadi wamevamia maduka na kupora.
Watu hao walivamia maduka hayo baada ya kupiga baruti kwa lengo la kuwatisha watu ili waweze kufanikisha wizi huo.Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana mjini Kibaha kaimu kamanda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani