Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polis Mara lamshikilia Mwanaume mmoja kwakumbaka binti yake

Jeshi la polisi wilayani bunda linamshikilia mwanaume mmoja kwa tuhuma za kumbaka binti yake wa kuzaa ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi

Afisa tarafa ya chamriho, bw. Boniphace maiga, amemtaja mwanaume huyo kuwa ni athuman jeck mkazi wa kijiji cha mariwanda, kata ya hunyari wilayani hapa.

Amesema kuwa mwanaume huyo alimfanyia unyama huo binti yake wakati mke wake akiwa amekwenda kwenye biashara, zake ambapo anadaiwa kumfungia ndani ya nyumba yao na kuanza kumbaka.

Baada ya kitendo hicho...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Polis Mara yakamata wa nne kwa kuvamia hifadhi ya ziwa babati

Polisi mkoani Manyara imewakamata watu wanne wakazi wa kijiji cha Himiti wilayani Babati kwa kuvamia hifadhi ya ziwa babati na kufanya shughuli za kilimo.

Aidha jeshi hilo linawasaka watu wengine saba kwa tuhuma hizo za uvamizi wa hifadhi ya ziwa hilo.

Ziwa Babati ndilo linalotegemewa na wakazi wa wilaya ya Babati kama chanzo kikuu cha samaki.

Vijiji vinavyolizunguka ziwa hili vimeweka sheria ya kutofanya shughuli zozote ndani ya mita 200.

Baadhi ya watu wakiwemo viongozi wa vijiji wamevamia...

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAMBAZI YAUA BINTI MMOJA NA KUJERUHI MMOJA KATIKA TUKIO LA UPORAJI LILILOTOKEA LEO ASUBUHI YOMBO VITUKA

Mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina moja la Betty baada ya kupigwa risasi leo asubuhi huko Yombo Vituka, Temeke jijini Dar es Salaam ukiwa umesitiriwa kwa kufunikwa na khanga.Gari alilokuwa amepanda marehemu betty likiwa limedumbukia mtaroni kutokana na dereva wa gari hilo mali ya kampuni ya ulinzi ya Tunu kupigwa risasi ya mkono mara baada ya kukataa kusimama wakati alipoambiwa kufanya hivyo na majambazi.
Majambazi wawili waliokuwa na pikipiki wamuua Binti mmoja aliyefahamika kwa jina...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Wastara onesha miguu yake kwa mara ya kwanza toka alipokatwa mguu mmoja miaka 6 iliyopita

Wastara

Weekend iliyopita muigizaji mrembo wa filamu za Bongo, Wastara Juma aliamua kuweka wazi kile kinachoendelea kwenye maisha yake toka alipokatwa mguu wake wa kulia miaka 6 iliyopita.

Wastara

Akiwa jijini Nairobi kwenye matibabu, Wastara alipost picha hii kwenye akaunti yake ya Intagram na kuandika ujumbe ufuatao;

wastara mguu

“Kwa mara ya kwanza toka nimekatwa mguu miaka 6 iliyopita leo nimechukua nafasi hii kupost hii pic kuondoa maswali mengi yaliyopo vichwani mwa watu
Nipo kma unavyoiona pic.

Huyo ndio...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanaume mmoja akamatwa kwa kuhatarisha maisha ya watu

Jamaa mmoja Ujerumani ,amekamatwa kwa kujaribu kutekeleza mauwaji

 

10 years ago

Vijimambo

Hakuna Mwanaume Rijali Anayeweza kuwa na Mwanamke Mmoja tu

Kwa wale nitakaowakwaza naomba mniwie radhi lakini kweli hata mimi hainipendezi kuyasema haya ila ni vema tu niwaeleze dada zangu kwasababu ukweli unaoumiza ni bora, kuliko uongo unaofurahisha.Hakuna mwanaume riijali anayeweza kuwa na mwanamke mmoja, eidha awe ameoa au hata kama hajaoa. Hakuna mwanaume wa aina hiyo Karne hii, usijidanganye kukimbilia kwenye ndoa ukiamini kwamba baada ya kuolewa utajimilikisha huyo mwanaume aliyekuoa, never.
"Mchele mmoja mapishi mbalimbali", utakuta wewe...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanaume mmoja wa London athibitishwa kuwa mtu wa pili duniani kupona HIV

Mwanaume kutoka London Uingereza amethithitishwa kuwa ndiye mtu wa pili kupona virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi, wamesema madaktari.

 

9 years ago

Mwananchi

Baba wa kambo ambaka binti yake

Watoto wawili wenye umri wa miaka 13 wamebakwa kwa nyakati tofauti, huku mmoja akidaiwa kufanyiwa ukatili huo na baba yake wa kambo.

 

11 years ago

Michuzi

Binti Mfalme wa Sweden aendelea na ziara yake nchini

Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree akisalimiana na mmoja wa Maafisa waliompokea alipotembelea Mradi wa Maji wa WaterAid unaofadhiliwa na nchi yake uliopo Kigamboni eneo la Tungi, Wilayani Temeke, Dar es Salaam. Anayeshuhudia katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mhe. Bi. Sofia Mjema. Mtukufu Victoria alitembelea Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia tarehe 19 hadi 21 Machi, 2014. Mmoja wa Vijana wa skauti akimvisha skafu Mtukufu Victoria...

 

10 years ago

GPL

BABA ALIYEMBAKA BINTI YAKE WA KAMBO AKAMATWA PARAGUAY

Bw. Gilberto Benitez Zarate anayedaiwa kumbaka binti yake wa kambo na kumsababishia ujauzito. ...Akihojiwa na waandishi wa habari. ...Akipelekwa kituo cha Polisi. Asuncion, Paraguay
GILBERTO Benitez Zarate wa Paraguay amekamatwa akishitakiwa kwa kumbaka na kumpa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani