Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polis Mara yakamata wa nne kwa kuvamia hifadhi ya ziwa babati

Polisi mkoani Manyara imewakamata watu wanne wakazi wa kijiji cha Himiti wilayani Babati kwa kuvamia hifadhi ya ziwa babati na kufanya shughuli za kilimo.

Aidha jeshi hilo linawasaka watu wengine saba kwa tuhuma hizo za uvamizi wa hifadhi ya ziwa hilo.

Ziwa Babati ndilo linalotegemewa na wakazi wa wilaya ya Babati kama chanzo kikuu cha samaki.

Vijiji vinavyolizunguka ziwa hili vimeweka sheria ya kutofanya shughuli zozote ndani ya mita 200.

Baadhi ya watu wakiwemo viongozi wa vijiji wamevamia...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Polis Mara lamshikilia Mwanaume mmoja kwakumbaka binti yake

Jeshi la polisi wilayani bunda linamshikilia mwanaume mmoja kwa tuhuma za kumbaka binti yake wa kuzaa ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi

Afisa tarafa ya chamriho, bw. Boniphace maiga, amemtaja mwanaume huyo kuwa ni athuman jeck mkazi wa kijiji cha mariwanda, kata ya hunyari wilayani hapa.

Amesema kuwa mwanaume huyo alimfanyia unyama huo binti yake wakati mke wake akiwa amekwenda kwenye biashara, zake ambapo anadaiwa kumfungia ndani ya nyumba yao na kuanza kumbaka.

Baada ya kitendo hicho...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI KAGURUMJULI APONGEZWA KINONDONI KUONGOZA MARA NNE MFULULIZO MATOKEO KIDATO CHA NNE NA PILI KIMKOA


Mkuu wa shule ya Sekondari ya Canosa sister Irine Nakamanya akipokea cheti cha pongezi kwa shule hiyo kufanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne na pili.Wanafunzi na walimu waliokuwa katika hafla ya kupongezwa kwa kufanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne na cha pili mwaka 2019. Hafla hiyo imeandaliwa na Idara ya elimu Sekondari.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbowe akwama kwa mara ya nne kufika mahakamani

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, jana alikwama kwa mara ya nne mfululizo kufika katika Mahakama ya Wilaya ya Hai kutoa utetezi wake kwenye kesi inayomkabili ya kumshambulia mwangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.

Mbowe anadaiwa kumshambulia mwangalizi huyo, Nassir Yamin, katika Kijiji cha Nshara, Kata ya Machame Kusini, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimnajaro mwaka 2010.

Jana Mbowe alitakiwa kutoa utetezi wake mbele ya Hakimu Mfawidhi...

 

10 years ago

Bongo5

Nicole Scherzinger na Lewis Hamilton waachana kwa mara ya nne!

Nicole Scherzinger ameachana na mpenzi wake Lewis Hamilton kwa mara ya nne. Muimbaji huyo mwenye umri wa miaka 36 ameachana na mshindi huyo wa mashindano ya magari ya Formula One, 30, kutokana na uhusiano kuwa wa mbali (Long-distance relationship). Nicole anadaiwa kuumizwa mno na hatua hiyo. Wawili hao waliokuwa na uhusiano kwa miaka saba wanaachana […]

 

9 years ago

Habarileo

Mara yakamata wahamiaji haramu 435

JUMLA ya wahamiaji haramu 435 kwa mwaka 2015 wamekamatwa mkoani Mara, kwa kuingia nchini kinyume cha sheria. Kati yao kutoka Kenya ni raia 318, Uganda wawili, Burundi 44, Somalia watatu na Ethiopia 68.

 

10 years ago

Vijimambo

YAYA TOURE NDIYO MBABE WA SOKA AFRIKA KWA MARA YA NNE

Yaya Tourekiungo wa timu ya Manchester City Yaya Toure amekuwa mchezaji wa kwanza kutajwa na shirikisho la soka barani Afrika kuwa mchezaji bora wa mwaka kwa mwaka wanne mfululizo.
Toure ana umri wa miaka 31,aliteuliwa baada ya kucheza kwa kujitoa na kuleta ushindi katika Premier League na League Cup, na pia alijitoa kuisaidia Ivory Coast kuingia katika kombe la mataifa ya Africa yatakayo fanyika baadaye mwaka huu.
Toure amewapiku mshambuliaji kutoka Gabon, Pierre Emerick Aubameyang na...

 

11 years ago

Michuzi

WAKAAZI WA MTO WA MBU NA WAFANYAKAZI WA HIFADHI YA ZIWA MANYARA WASHIRIKI KUTUNZA MAZINGIRA

Wakaazi wa kata ya Mto wa Mbu waliwapongeza wafanyakazi hao kwa kujitolea na kuacha shughuli zao kwenda kuhimiza usafi wa mazingira ya mji wao huku wakiwataka wenzao kujali usafi wa mazingira ilikuepuka magonjwa ya milipuko  Kwa upande wake kaimu mhifadhi wa hifadhi ya ziwa manyara Ibrahimu Yamola alisema kuwa wakazi hao ambao ni jirani na mbuga hiyo wnapaswa kuyajali mazingira wanamo ishi kwa kyaweka katika hali ya kuvutia kwani mji wao unapokea wageni mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali...

 

9 years ago

BBCSwahili

Polis 4 washtakiwa kwa kuua mshukiwa

Maafisa wanne wa polisi wameshtakiwa baada ya kunaswa na kamera za siri CCTV wakimpiga risasi na kumuua mshukiwa mmoja wa uhalifu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani