Tanesco yalalamikiwa kuhatarisha maisha
WAKAZI wa Kikuyu Maghorofani mkoani Dodoma, wamelilalamikia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Dodoma kwa kuhatarisha maisha yao kutokana na kuwepo nguzo za umeme zilizooza. Wakazi hao walitoa malalamiko...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili23 Mar
Mwanaume mmoja akamatwa kwa kuhatarisha maisha ya watu
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Afisa jela kuhatarisha usalama wa ndege
9 years ago
Mwananchi14 Nov
Mgogoro wa Zanzibar kuhatarisha soka visiwani humo
11 years ago
Habarileo08 Mar
ITV, StarTv, RFA zadaiwa kuhatarisha usalama,maadili
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevipa onyo kali vyombo vya habari vya Independent Television (ITV), Star Tv na Radio Free Africa (RFA) kwa kutangaza maudhui yanayoelezwa kuchochea uvunjifu wa amani na kuzuia wananchi kulipa kodi.
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Halmashauri yalalamikiwa
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Sumatra Ruvuma yalalamikiwa
BAADHI ya Wasafirishaji wa abiria mikoani katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, Ruvuma, wameilalamikia Mamlaka ya Usafirishaji Nchi Kavu na Majini (Sumatra), mkoani hapa kwa kufanya upendeleo wa kuibeba kampuni...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Mahakama yalalamikiwa kuvunja ndoa
MAHAKAMA ya Mwanzo Namanyere, wilayani Nkasi, imelalamikiwa kuvunja ndoa iliyokuwa na mgogoro bila kugawanya mali iliyochumwa na wanandoa wakiwa pamoja. Maria Tarafa (25), mkazi wa Kijiji cha Isale ambaye ni...
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Tambaza Auction Mart yalalamikiwa
DHULUMA na ubabe unaodaiwa kufanywa na wafanyakazi wa Kampuni ya udalali ya Tambaza Auction Mart ya jijini Dar es Salaam, umelalamikiwa na baadhi ya wamiliki wa magari, hususan malori. Baadhi...
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Operesheni Safisha Jiji yalalamikiwa
WIKI moja baada ya Operesheni Safisha Jiji, baadhi ya wakazi wameomba Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiq kuingilia kati, kuzuia uvunjifu wa sheria wa kubomolewa baadhi...