Mtu Mmoja apoteza maisha kwa Mafuriko jijini Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-yNULcG2812o/VVSziYNkSoI/AAAAAAAHXUM/lEecZ3fAIYg/s72-c/image061.jpg)
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwepo kwa mtu mmoja mwanaume aliyetambulika kwa jina la EXAVERY S/O MICHAEL, Miaka 19, Mkazi wa Kingugi Mbagala, aliefariki dunia baada ya kusombwa na maji wakati akiwa katika harakati za kuvuka mto Kizinga, na kufikia idadi ya Watu 13 waliopoteza maisha jijini Dar es Salaam kutokana na athari ya mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha.
Tukio hili lilitokea tarehe 13/05/2015 majira ya saa nane kamili mchana huko...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-24CsRujhlCw/VS5FUbKMsqI/AAAAAAAHRRQ/S_vFcJGnXP4/s72-c/IMG-20150415-WA0045.jpg)
NEWZZ ALERT;MTU MMOJA APOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA BASI LA JORDAN KUPINDUKA NZEGA,LIKITOKEA JIJINI MWANZA KWENDA ARUSHA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-24CsRujhlCw/VS5FUbKMsqI/AAAAAAAHRRQ/S_vFcJGnXP4/s1600/IMG-20150415-WA0045.jpg)
Mtu mmoja amefariki dunia huku wengine 25 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Jordan lenye usajili wa namba T 650 AQZ lililokuwa likitokea jijini Mwanza kwenda mkoani Arusha na kupinduka leo wilayani Nzega,Tabora.Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana.
![](http://3.bp.blogspot.com/-tXAyhsmhNUE/VS5FTTHjAsI/AAAAAAAHRRE/KnSSu-YP4kM/s1600/IMG-20150415-WA0039.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Qi1DswkaKC0/VS5FS0wPhwI/AAAAAAAHRQ8/0h7X2lFpg1A/s1600/IMG-20150415-WA0040.jpg)
11 years ago
Michuzi17 Feb
NEWS ALERT: Mmoja apoteza maisha kufuatia ajali ya gari huko Lindi
Abiria aliyepoteza maisha katika ajali hiyo anaitwa Amina Omari Makodora (48) mkazi wa kijiji cha Kilindoni,wilaya ya Mafia,mkoani Pwani.
Kwa mujibu wa abiria wengine walionusulika kwenye ajali hiyo,wameiambia Globu ya Jamii kuwa ajali hiyo...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6wLHhRCmsGg/VooST1V7ywI/AAAAAAAALBw/7hwUlYbPCdU/s72-c/Image1.jpg)
MTU MMOJA ADAIWA KUKUTWA AMEFARIKI LEO ASUBUHI JIJINI MBEYA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-6wLHhRCmsGg/VooST1V7ywI/AAAAAAAALBw/7hwUlYbPCdU/s640/Image1.jpg)
Kifo cha Mtu huyo ambaye inaelezwa ni kijana wa makamo alikutwa amefariki kwenye uchochoro wa nymba hiyo mara baada ya kubainika na baadhi ya Wananchi,waliokuwa wakikatiza mtaa huo kuelekea mtaa mwingine,Baadhi ya Mashudhua wa eneo hilo wameeleza kuwa mtu huyo si mkazi wa mtaa huo,
"Mtu huyo si Mkazi wa Eneo...
10 years ago
Michuzi24 Mar
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Mafuriko Dar: Watu 13 wapoteza maisha
11 years ago
BBCSwahili13 Apr
Mafuriko Dar:Watu kumi wapoteza maisha
10 years ago
Michuzi23 Jul
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Ebola:Mfanyakazi apoteza maisha
9 years ago
StarTV26 Nov
Mtu mmoja afariki kwa kukatwa kwa kitu chenye ncha kali
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mwikwabe Mwita mkazi wa Kibasa wilaya ya tarime mkoani Mara amefariki dunia baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi baada ya kuvamia duka ambalo marehemu alikuwa akifanya kazi ya ulinzi nyakati za usiku
Akiongea kwa masikitika makubwa ya kuuawa kwa mlinzi wa duka lake na kuporwa mali zote zilizo kuwemo ndani ya duka hilo mmiliki wa duka, Chacha marwa analiomba jeshi la polisi kanda maalum ya Tarime na...