Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wimbi la Joto lawaua watu 430 India


Takriban watu 430 wamekufa kutokana na wimbi la joto linalovuma nchini India.

Takriban watu 430 wamekufa kutokana na wimbi la joto linalovuma nchini India.

Watafiti wamesajili kiwango cha juu mno cha nyuzijoto 48’C katika maeneo mengi nchini humo.

Vifo vingi zaidi vimeripotiwa katika majimbo ya kusini ya Telangana na Andhra Pradesh, ambapo watu 140 wamepoteza maisha yao kuanzia jumamosi wimbi hilo la joto lilipotokea.

Mji wa Allahabad ulioko Uttar Pradesh ulisajili vipimo vya nyuzijoto 48C...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wimbi la Joto lawaua watu 430 India

Takriban watu 430 wamekufa kutokana na wimbi la joto linachoshudiwa nchini India.

 

10 years ago

Dewji Blog

Takriban watu 1000 wamekufa kutokana na wimbi la joto linalovuma nchini India.

1270976373314773061

Watafiti wamesajili kiwango cha juu mno cha nyuzijoto 48’C katika maeneo mengi nchini humo ambapo vifo vingi zaidi vimeripotiwa katika majimbo ya kusini ya Telangana na Andhra Pradesh, ambapo watu 140 wamepoteza maisha yao kuanzia jumamosi wimbi hilo la joto lilipotokea hata hivyo hadi kufia leo Mei 27, tayari zaidi ya watu 1,000, wamelipotiwa kupoteza maisha yao.

Mji wa Allahabad ulioko Uttar Pradesh ulisajili vipimo vya nyuzijoto 48C huku wakaazi wa mji mkuu wa India New Delhi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Joto kali lawaua watu 800 Pakistan

Takriban watu 800 wamefariki nchini Pakistan kutokana na joto kali.Tayari maeneo ya kuhifadhi wafu yamejaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Joto kali lawaua watu 700 Pakistan

Waziri mkuu nchini Pakistan Nawaz Sharrif ametaka hatua za dharura kuchukuliwa huku idadi ya watu waliofariki kutokana na joto katika mkoa wa kusini wa Sindh ikifikia 700.

 

10 years ago

Vijimambo

IDADI YA VIFO VINAVYOTOKANA NA JOTO KALI NCHINI INDIA VIMEPITA ZAIDI WATU 1,000

 Idadi ya vifo vinavyotokana na joto kali nchini India vimepita zaidi watu 1,000 huku hali ya joto ikikaribia nyuzi joto 50 katika baadhi ya maeneo. Vingi ya vifo vimetokea katika jimbo la kusini la Telangana pamoja na Andhra Pradesh, ambapo watu 1,118 wamekufa tangu wiki iliyopita. Ripoti zinaeleza watu wengine 24 wamekufa kutokana na joto kali huko Bengali Magharibi pamoja na Orissa. Hali ya joto hilo inatarajiwa kupungua katika siku chache zijazo.


 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulizi lawaua watu 4 Burundi

Polisi nchini Burundi wanasema kuwa watu wanne wameuawa na wengine karibu 30 kujeruhiwa kwenye mashambulizi ya guruneti Jumapili usiku.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetemeko lawaua watu 40 Nepal

Wakuu nchini Nepal sasa wamethibitisha kuwa idadi ya watu waliokufa kutokana na tetemeko jingine jipya lililotokea nchini humo, imepanda na kufikia zaidi ya watu 40

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulio lawaua watu 9 kanisani US

Polisi katika jimbo la South Carolina nchini Marekani wamesema mtu aliyejihami kwa bunduki amewapiga risasi na kuwaua watu 9 kanisani

 

11 years ago

BBCSwahili

Shambulizi la Israel lawaua watu 10

Ripoti za hivi karibuni zinaarifu kuwa shambulizi la angani la Israel limewauwa watu kumi katika shule moja ya umoja wa mataifa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani