WIMBI LA WATOTO WA MITAANI LAZIDI KUONGEZEKA JIJINI DAR
Watoto wa mitaani katika pitapita zao jijini. ...Wakivuka barabara katika mishemishe za kwenda kuomba fedha. KAMERA ya Global ilibaini wimbi la watoto wa mitaani bado linaongezeka pale ilipowakuta watoto watatu wakizurura eneo la Chang'ombe jijini Dar es Salaam. (PICHA NA HARUN…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboGOLA KUWAONDOA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA
Afisa ustawi wa jamii na Maendeleo ya jamii jijini Arusha Mwantumu Dossi akitembelea mradi wa shamba la mahindi unaoendeshwa na taasisi ya Gola Foundation jana katika kituo cha Kufikia watoto wa mitaani,katikati ni Mkurugenzi wa shirika hilo Elisha Maghembe
habari picha na libeneke la kaskazini blog
Mkurugenzi wa shirika lisilokua la kiserikali la Gola Foundation Elisha Maghembe amesema kuwa wameanza zoezi la kuwaondoa watoto wa mitaani walioko jijini Arusha na kuwafikisha kwenye vituo...
10 years ago
GPLSHINDANO LA KUSAKA VIPAJI LA TMT JIJINI DAR LAZIDI KUNOGA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-dM9w9lo0N4s/VdYdcPg6lgI/AAAAAAAHyrs/xbWBa9EIB1s/s72-c/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
Taswira za mitaani jijini Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-dM9w9lo0N4s/VdYdcPg6lgI/AAAAAAAHyrs/xbWBa9EIB1s/s640/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Gaioy6OY6MY/VdYdcdKX3iI/AAAAAAAHyrw/YJnytBzN0Sc/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-9FRvygLqmsw/VdYdmTWl0UI/AAAAAAAHysE/BX7LiNGgU2I/s640/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
10 years ago
MichuziFISA USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO YA JAMII AKITEMBELEA MRADI WA SHIRIKA LA KUSAIDIA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA
.
10 years ago
VijimamboBANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI LAZIDI KUNG’ARA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
VijimamboBUNGE LA WATOTO OYSTERBAY SHULE YA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.
Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.
Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani akifuatilia hoja kwa makini.wakati kikao cha bunge la watoto likiendelea katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa...
9 years ago
MichuziBUNGE LA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/pFeeZkVwsAs/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Tusiwanyanyapae watoto wa mitaani
HIVI sasa kuna wimbi la watoto wa mitaani katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ambao hawana uangalizi kama walivyo watoto wengine. Ni fursa sasa kwa jamii kujiuliza...