Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIMBO MPYA WA ANNABEL-JITOKEZE

Naomba nichukue nafasi hii kukushukuru kwa ushirikiano wako kuhakikisha kipaji changu kinajulikana. Juhudi zako zilizaa matunda na zinaendelea kufanikiwa kutoka kwenye wimbo niliomshirikisha Barnaba (UNANIONEA) sasa nina Wimbo mpya unaitwa (JITOKEZE). Nakuomba tena support yako ili sauti yangu isikike zaidi na kupitia wewe watu wakafahamu kipaji changu.

Kuelekeza watu jinsi ya kuupata wimbo wanaweza kudowload

https://mkito.com/song/jitokeze/16804

Lakini nimekutumia wimbo mzima usikilize...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Annabel — Jitokeze

Wimbo mpya wa Mwanadada Annabel unaitwa “Jitokeze” Umetaarishwa na Producer Jobanjo Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo5

Navy Kenzo wazungumzia album mpya, ‘Niroge na wimbo mpya ‘Moyoni’

Kundi la Navy Kenzo linajiandaa kuachia wimbo wake mpya ‘Moyoni’ wiki hii huku pia likijiandaa kutoa album mpya, ‘Niroge’ mapema mwakani. Procuder Nahreel amesema maandalizi ya album mpya yako mbioni kufikia tamati. “Hii album itatoka January mwakani, maandalizi ni mazuri mpaka sasa hivi, nyimbo nane tayari, ambazo katika nyimbo nane hizo moja wapo tumemshirikisha Joh […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band wazindua wimbo wao mpya kwa kishindo, leo ndani ya Thai Village hapatoshi njoo ucheze na kufurahi na staili mpya kibaoo!!

Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mpera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania

Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii

Diva wa Skylight Band Digna Mpera akilisogeshaaaa taratibuuuuuuuu

Meneja mwenyeweee  Aneth Kushaba kwa raha zakeeeee Akiiimba kwa furaha kabisa ndani ya Kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita,ambayo ilikuwa ni uzinduzi Rasmi wa Wimbo wao...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND WAZINDUA WIMBO WAO MPYA KWA KISHINDO,LEO NDANI YA THAI VILLAGE HAPATOSHI NJOO UCHEZE NA KUFURAHI NA STAILI MPYA KIBAOO!!‏

Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mbepera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii…

 

11 years ago

Bongo5

Picha/Audio: Utengenezaji wa video mpya ‘Mr. Oreo’ ya Iyanya, Marekani na sikiliza wimbo wake mpya ‘Story story’

Iyanya ni msanii wa Nigeria ambaye mwaka huu ameshirikishwa na star wa Bongo, Diamond Platnumz katika wimbo uitwao ‘Bum Bum’ ambao video yake imetoka hivi karibuni. Nyota huyo aka Mr. Kukere ambaye mwaka jana pia alikuja Tanzania na kutumbuiza katika tamasha la Fiesta Dar es salaam, ameachia single mpya iitwayo ‘Story story’ Feat. Oritsefemi. Hivi […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Annabel Ft. Barnaba — Unanionea

Msanii Mpya anaitwa Annabel amechia wimbo unaitwa “Unanionea” amemshirikisha Barnaba Studio Hightable Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani