Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIMBO MPYA WA TINA BEIBE-ASUMBA

Tina Christina Mghazo a.k.a ‘Tina Beibe’ni msanii wa kike ambaye anaishi Moshi, Tanzania, anaumri wa miaka 25. Tina ameachia Track yake mpya ambayo inaitwa ‘Asumba’ Feat. King Syrus Produced by King Cyrus Sound Production Moshi. Kwa sasa yupo chini ya management ya Baba yake ambaye anaitwa Nashipai, Hivyo basi Tina wakati akikabidhi kazi yake alifunguka kidogo na kueleza kuwa;

“Muziki wa bongo fleva kwa sasa unamuelekeo mzuri na malengo yangu hapo baadae ni kuhakikisha nafungua Bandi yangu coz...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Navy Kenzo wazungumzia album mpya, ‘Niroge na wimbo mpya ‘Moyoni’

Kundi la Navy Kenzo linajiandaa kuachia wimbo wake mpya ‘Moyoni’ wiki hii huku pia likijiandaa kutoa album mpya, ‘Niroge’ mapema mwakani. Procuder Nahreel amesema maandalizi ya album mpya yako mbioni kufikia tamati. “Hii album itatoka January mwakani, maandalizi ni mazuri mpaka sasa hivi, nyimbo nane tayari, ambazo katika nyimbo nane hizo moja wapo tumemshirikisha Joh […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band wazindua wimbo wao mpya kwa kishindo, leo ndani ya Thai Village hapatoshi njoo ucheze na kufurahi na staili mpya kibaoo!!

Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mpera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania

Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii

Diva wa Skylight Band Digna Mpera akilisogeshaaaa taratibuuuuuuuu

Meneja mwenyeweee  Aneth Kushaba kwa raha zakeeeee Akiiimba kwa furaha kabisa ndani ya Kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita,ambayo ilikuwa ni uzinduzi Rasmi wa Wimbo wao...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND WAZINDUA WIMBO WAO MPYA KWA KISHINDO,LEO NDANI YA THAI VILLAGE HAPATOSHI NJOO UCHEZE NA KUFURAHI NA STAILI MPYA KIBAOO!!‏

Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mbepera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii…

 

11 years ago

Bongo5

Picha/Audio: Utengenezaji wa video mpya ‘Mr. Oreo’ ya Iyanya, Marekani na sikiliza wimbo wake mpya ‘Story story’

Iyanya ni msanii wa Nigeria ambaye mwaka huu ameshirikishwa na star wa Bongo, Diamond Platnumz katika wimbo uitwao ‘Bum Bum’ ambao video yake imetoka hivi karibuni. Nyota huyo aka Mr. Kukere ambaye mwaka jana pia alikuja Tanzania na kutumbuiza katika tamasha la Fiesta Dar es salaam, ameachia single mpya iitwayo ‘Story story’ Feat. Oritsefemi. Hivi […]

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Mtanzania

Wangechi kuachia wimbo mpya na Ne-Yo

Wangechi na Ne YoNAIROBI, KENYA

MSANII wa muziki nchini Kenya, Wangechi Mutu, anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao amefanya na mkali wa RnB kutoka nchini Marekani, Ne-Yo.

Wimbo huo uliandaliwa tangu Agosti mwaka huu, hivyo unatarajiwa kuachiwa mwishoni mwa wiki hii huku jina likitarajiwa kutajwa wakati wa utambulisho wa wimbo huo.

“Wimbo ulikuwa tayari muda mrefu, lakini mambo hayakuwa sawa, ila kwa sasa kila kitu kimekamilika na hii ni wiki ya kuachia ngoma hiyo, jina la wimbo litajulikana wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani