Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wimbo unapotamba ni bahati au mkosi kwa msanii?

Ndoto ya kila msanii wa muziki ni kurekodi wimbo mzuri utakaopendwa na mashabiki na utakaochezwa kila mara kwenye vituo vya redio pamoja na kushika chart mbalimbali. Pia ndoto ya kila msanii ni kutoa wimbo utakaompa tuzo na kumpa show nyingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Master J asema sio haki kwa msanii kurekodi wimbo kwa laki 2 na kushoot video South kwa milioni 25

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Master J amekuwa mstari wa mbele kupaza sauti kuhusiana na kutokuwepo kwa usawa kati ya watayarishaji wa muziki na wasanii nchini.Master J ameiambia Bongo5 kuwa kuna watayarishaji ameshaona wanakosa moyo wa kufanya kazi kutokana hali hiyo.“Tanzania maprodyuza ni maskini, eti wasanii wana hela kuliko producers hii ni industry gani,” amehoji Master J. “Kwa sababu hapa hizi sheria zilizopo hazimlindi producer ndo maana anadharaulika. Huyo huyo msanii yupo...

 

9 years ago

Bongo5

COSOTA yataja kiasi atakacholipwa msanii kwa kila wimbo au video itakayochezwa kwenye Redio au TV

majani

Miongoni mwa maswali mengi ambayo yanaendelea kuulizwa kuhusiana na utaratibu mpya wa vyombo vya habari kuanza kuwalipa wasanii kwa kucheza nyimbo zao kuanzia mwakani, ni pamoja na kiasi gani msanii atakuwa analipwa.

majani

Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama cha Hakimiliki Tanzania (Cosota), Doreen Sinare alisema kuwa wanamuziki, watunzi na maproducer watalipwa asilimia 60 kwa kila wimbo au video itakayochezwa katika redio na televisheni yoyote ndani na nje ya nchi kwa kutumia vifaa bora vilivyowekwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

5 years ago

Michuzi

MSANII WA NIGERIA OLAKIRA KUACHIA WIMBO MPYA WA ‘IN MY MASERATI’



MSANII nyota wa miondoko ya Afro Pop, Pop na RnB kutoka Nchini Nigeria, Adefemi Ebenezer maarufu kama Olakira   Ijumaa ya 26 Juni anatarajia rasmi kuachia wimbo mpya wa ‘In my Maserati’.  Olakira anayetamba na nyimbo bora mbalimbali zikiwemo  ‘Aya Mi’,  ‘Wakanda Jollof na zingine nyingi ambapo kwa sasa anakuja ba ujio mpya wa wimbo wake...

 

10 years ago

Vijimambo

MSANII METTY KUZINDUA WIMBO WAKE MPYA "NAJUA" JUMATANO HII

Wmbo mpya ya msanii Metty iitwayo "Najua" inatarajiwa kuzinduliwa tarehe 1 Octoba siku ya jumatano ya wiki hii katika vyombo mbalimbali vya habari ndani na nje ya Tanzania.

Wimbo huo amashirikishwa msanii Conrad anaekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa bongo flava ikiwa wapenzi wengi wa muziki wa kizazi kipya watapata nafasi ya kumfahamu msanii huyo.Najua ni wimbo uliotayarishwa katika studio mpya za kisasa Centric Records chini ya producer Eng.Davy Machords.

Metty amewaomba wadau na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Download na Sikiliza wimbo mpya msanii Wiz Tayson Ft Barnaba — Sijutii

barnaba

Barnaba ameingia katika list ya wasanii wakubwa walioshiriki katika kazi za wasanii wengine na ndiye msanii anayeongoza kusaidia wasanii wanaochipukia katika muziki wa Bongo Fleva kwa mwaka 2015.

Safari hii Barnaba anasikika kwenye kiitikio cha wimbo mpya kabisa wa Hip Hop alioshirikiswa na Wiz Tayson kutoka Maskan ya B.O.B Click.

tay

Wiz Tayson wimbo wake mpya huu ameupatia jina la SIJUTII alioufanyia katika studio za Kir record chini ya muandaaji Rash Don.

Sijutii Wiz anazungumzia maisha ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani