Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara ya Nishati yaahidi kusimamia ushindani wa haki

Serikali imesema itasimamia ushindani wa kibiashara wa haki na kutengeneza mazingira wezeshi kwa waagizaji wa mafuta nchini ili kuhakikisha kuwa wafanyabiashara hao wananufaika na biashara hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA WIZARA YA MUUNGANO NA MAZINGIRA YAWEKA MIKAKATI YA PAMOJA KULILINDA BWAWA LA NYERERE MW 2115.


NaFarida Saidy,Morogoro.

Kufuatia athari zilizojitokeza za mafuriko kwa baadhi ya vijiji vya wilaya ya kilombero mkoani Morogoro baada ya maji kufunguliwa katika bwawa la kufua umeme la Kidatu mawaziri wawili wa Nishati Dkt.Medard Kalemani na Mussa Zungu wa Muungano na Mazingira wamefanya ziara ya kukagua madhara yaliyojitokeza katika Wilaya hiyo.

Lengo la ziara hiyo ni kunagalia namna ya kudhibiti uharibufu uliojitokeza katika mabwawa ya kuzalishia umeme ya Mtera na Kidatu,ambapo Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUUNDA KITENGO MAALUMU KWAAJILI YA USHIRIKI WA WATANZANIA KATIKA SERA YA NISHATI NA MADINI

 Msimamizi wa masuala ya ushiriki wa watanzania wa wizara ya nishati na madini Neema Apson akizungumzia jinsi wizara ya nishati na madini inavyoshiriki katika kuhakikisha taarifa zinawafikia wananchi kwa usahihi kuhusiana na mafuta na gesi katika ukumbi wa mikutano wa British Cancil jijinin Dar es Salaam leo. pia wizara hiyo itaunda kitengo maalumu kwaajili ya kusimamia masuala ya gesi na mafuta na kuwajulisha wananchi kushiriki vyema katika nishati zitolewazo hapa nchini.
 Mkuu wa Biashara...

 

10 years ago

Vijimambo

KANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb)--JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA NISHATI NA MADINIKatika gazeti la NIPASHE la Jumatatu tarehe 08 Desemba, 2014 ziliandikwa habari kuhusu Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb) chini ya kichwa cha habari “Wanaomtetea Muhongo Wajibu haya”. Hoja zilizotolewa katika gazeti hilo zililenga kupotosha ukweli. Wizara inapenda kutoa maelezo kuhusu hoja zilizotolewa kama ifuatavyo:

Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yaahidi kutoa haki kwa wamiliki Magereji

Serikali ameahidi kumaliza mgogoro uliopo kati ya mmiliki wa eneo la Magereji Wazohill na wamiliki wa gereji zilizoko katika eneo hilo baada ya kujiridhisha kwa mipaka yake.

Mgogoro wa eneo hilo umedumu kwa muda mrefu bila utatuzi wowote kutoka kwa Serikali ambayo iliwakabidhi wananchi kufanya shughuli zao katika eneo hilo.

Wafanyabiashara wa eneo hilo la Magereji walikabidhiwa na Manispaa ya Kinondoni 2005 baada ya kuvunjwa kwa gereji bubu na kutengewa eneo maalumu na baadaye Mwenge wa...

 

5 years ago

Michuzi

Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu



Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu ahimiza serikali kusimamia haki, usawa

ASKOFU wa Kanisa la Africa Inland (AIC) wa Dayosisi ya Pwani, Charles Salalah amesema serikali isiyo na dini ndiyo itakayosimamia haki na usawa katika taifa, kinyume cha hapo inatafuta matatizo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara yaahidi barabara za lami pembezoni

WIZARA ya Ujenzi imeanza kutekeleza mpango wa kujenga barabara kwa kiwango cha lami zilizopo pembezoni mwa mji ili kupunguza msongamano wa magari jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yajizajititi kusimamia haki za mtoto na marekebisho ya tabia

SAM_0080

Afisa Ustawi wa Jamii Mkuu toka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Bw. Steven Gumbo (kushoto) akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani) Kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kusimamia haki za mtoto na marekebisho ya tabia leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.

SAM_0131

Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Bw. Nsachris Mwamwaja (kulia) akikanusha taarifa zilizo ripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini...

 

9 years ago

StarTV

Mgombea Ubunge CHAUMA aishauri Tume kusimamia haki

Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMA Eugene Kabendera ameitaka Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo kwa haki bila kupendelea upande wowote baada ya uchaguzi mkuu.

Kabendera amesema Jimbo la Ubungo lina changamoto nyingi hasa ya maji inayosumbua kwa muda mrefu sasa hivyo anahitajika mbunge kijana kama yeye kusimamia jimbo hilo na kuleta maendeleo.

Kabendera ametoa tamko hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kusema kuwa haki ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani