Serikali yajizajititi kusimamia haki za mtoto na marekebisho ya tabia
Afisa Ustawi wa Jamii Mkuu toka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Bw. Steven Gumbo (kushoto) akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani) Kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kusimamia haki za mtoto na marekebisho ya tabia leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Bw. Nsachris Mwamwaja (kulia) akikanusha taarifa zilizo ripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Apr
Askofu ahimiza serikali kusimamia haki, usawa
ASKOFU wa Kanisa la Africa Inland (AIC) wa Dayosisi ya Pwani, Charles Salalah amesema serikali isiyo na dini ndiyo itakayosimamia haki na usawa katika taifa, kinyume cha hapo inatafuta matatizo.
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Marekani na marekebisho ya sera ya haki
9 years ago
MichuziBALOZI SEIF ALI IDDI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA KITUO CHA TIBA NA MAREKEBISHO YA TABIA KWA VIJANA.
10 years ago
VijimamboMBEYA YAZINDUA MPANGO WA MAREKEBISHO YA TABIA NA MPANGO WA UTOAJI MSAADA WA SHERIA
10 years ago
Habarileo27 Sep
Wataka marekebisho ya sheria kuwapa haki abiria wa mabasi kudai fidia
SERIKALI imeshauriwa kufanya marekebisho ya sheria za usalama barabarani ziwezeshe kutoa haki kwa mtumiaji wa mabasi anapopata ajali, alipwe bima kama ilivyo kwa watumiaji wa ndege na meli.
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Wizara ya Nishati yaahidi kusimamia ushindani wa haki
9 years ago
StarTV24 Oct
Mgombea Ubunge CHAUMA aishauri Tume kusimamia haki
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMA Eugene Kabendera ameitaka Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo kwa haki bila kupendelea upande wowote baada ya uchaguzi mkuu.
Kabendera amesema Jimbo la Ubungo lina changamoto nyingi hasa ya maji inayosumbua kwa muda mrefu sasa hivyo anahitajika mbunge kijana kama yeye kusimamia jimbo hilo na kuleta maendeleo.
Kabendera ametoa tamko hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kusema kuwa haki ni...
10 years ago
MichuziSERIKALI KUPELEKA BUNGENI MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Magogoni jijini Dar es Salaam, jana jioni (Jumatano, Machi 11, 2015) Waziri Mkuu alisema Serikali inakusudia kuwasilisha muswada huo kwenye mkutano ujao wa Bunge unaotarajiwa kuanza Jumanne ijayo, (Machi 17).
Hata hivyo, Waziri Mkuu amewasihi Watanzania waondoe hofu iliyoenezwa na tetesi...
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
WASIMAMIZI WA UCHAGUZI SINGIDA: Watakiwa kusimamia shughuli zao kwa kuzingatia Haki,Uadilifu na kutopendela chama!
Mkuu wa wilaya ya Singida,Bwana Saidi Amanzi(aliyesimama) akifungua semina ya siku mbili kwa wasimamizi 42 kutoka jimbo la Singida kaskazini.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na. Jumbe Ismailly
[SINGIDA] MKUU wa Wilaya ya Singida,Saidi Amanzi amewaagiza wasimamizi wa uchaguzi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanakwenda kusimamia shughuli za uchaguzi kwa kuzingatia haki,uadilifu,bila upendeleo na kwa kutoegemea upande wowote.
Mkuu wa wilaya huyo alitoa agizo hilo kwenye ufunguzi wa semina ya siku...