Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara ya uchukuzi ilivyojipanga BRN

WIZARA ya Uchukuzi ni miongoni mwa wizara sita zilizoteuliwa na serikali kuanza kutekeleza Programu ya Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now-BRN) mwaka 2013/2014. Katika program hii wizara imelenga kutekeleza miradi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MABEHEWA 50 YA KUBEBEA MAKASHA CHINI YA MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN)

Moja kati ya mabehewa 50 ya kubebea makasha likishushwa katika Bandari ya Dar es Salaam, leo asubuhi. Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), leo limepokea mabehewa 50 ya kubebea makasha ambapo mradi huu unatekelezwa chini ya Mpango wa Matokeo makubwa sasa(BRN). Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk . Shaaban Mwinjaka(mwenye tai ya blue), akiangalia behewa moja kati ya mabehewa 50 ya kubebea makasha yalishuhushuwa katika bandari ya Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATEMBELEA OFISI ZA ILIYOKUWA WIZARA YA UCHUKUZI NA KUONGEA NA MENEJIMENTI NA WAKUU WA TAASISI LEO ASUBUHI

 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ambandusi Ngonyani (Kushoto), akisalimia na Kaimu Katibu Mkuu wa iliyokuwa Wizara ya Uchukuzi, mara baada ya kuwasili ofisini hapo leo asubuhi.   Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ambandusi Ngonyani akisaini Kitabu cha wageni katika Ofisi ya Naibu Waziri iliyokuwa Wizara ya Uchukuzi mara baada ya kuwasili ofisini hapo leo asubuhi. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), Kapteni Kenan...

 

10 years ago

Michuzi

NCHI ZA UKANDA WA KATI WA UCHUKUZI ZASHAURIWA KUCHUKUA NIDHAMU YA UTEKELEZAJI YA BRN

Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN),  Omari Issa amewashauri Wakuu wa Nchi za Ukanda wa Kati wa Uchukuzi kuwa mifumo ya ufuatiliaji na utekelezaji itakayoharakisha ukamilishaji wa miradi iliyoko katika nchi zao.
Alisisitiza kuwa bila kuwa na mifumo ya ufuatiliaji, baadhi ya nchi zinaweza kumaliza kwa wakati miradi yake; huku nchi nyingine zikichelewa kukamilisha miradi iliyo upande wake. Hali...

 

10 years ago

Mwananchi

Haikuwa sahihi kumwondoa Dk Mwakyembe Wizara ya Uchukuzi

Machi, 2014 Dk Harrison Mwakyembe, mwandishi wa habari kitaaluma aliingia katika historia ya aina yake, kwa kushiriki kuunga mkono hoja ya kuzuia wanahabari wenzake kuingia na kuandika habari ndani ya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA USAFIRISHAJI WA UJERUMANI AZUNGUMZA NA MAOFISA WA WIZARA YA UCHUKUZI

Sehemu ya ujumbe wa Ujerumani wakiongozwa na Waziri wa Usafirishaji, Mathias Maching (wa tatu kulia). Mandhari ilivyokuwa katika chumba cha mikutano.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi afanya ziara TRL!!

PIX 1

Katibu mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Bw. Shabani Mwinjaka akiongea na waandishi wa habari alipofanya ziara yake katika shirika la reli Tanzania (TRL) leo jijini Dar es salaam.

Na Ally Daud-Maelezo

[DAR ES SALAAM] Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi  Shabani Mwinjaka amefanya ziara katika Shirika la Reli Tanzania (TRL) ili kuhakikisha ufanyaji kazi wa shirika hilo linaendana na kasi ya Rais wa awamu ya tano Mh.  John Pombe Magufuli.

Katika ziara hiyo Bw. Mwinjuko alikagua karakana za shirika hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara ya Fedha yajivunia mafanikio BRN

MATOKEO Makubwa Sasa (BRN) ni mfumo unaotumiwa na serikali katika kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa baadhi ya majukumu yake yenye lengo la kupata matokeo chanya kwa muda mfupi. Mfumo huo...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi akutana na Ujumbe wa Ubalozi wa Uholanzi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka ( wa tatu kutoka kulia mstari wa kwanza) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Ubalozi wa Uholanzi, wawakilishi kutoka bandari ya Rotterdam ya uholanzi pamoja na wawakilishi kutoka kampuni ya BAM ya uholanzi aliokutana leo mchana ofisini kwake kujadiliana kuhusu kuwekeza katika bandari ya Mtwara kwa mkopo wa bei nafuu. Kulia kwa Dk. Mwinjaka ni Balozi wa Uholanzi Nchini, Mr. Jaap FREDERICKS. (Picha na kitengo cha...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI, MWINJAKA AZINDUA BODI (RAHCO).

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI, DKT SHAABAN MWINJAKA AZINDUA BODI YA KAMPUNI YA MILIKI YA RASILIMALI ZA RELI (RAHCO), KWA NIABA YA WAZIRI WA UCHUKUZI, LEO ASUBUHI  Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka akitoa maelekezo kwa Niaba ya Waziri wa Uchukuzi, kwa Wakurugenzi wa Bodi ya Kampuni Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), leo asubuhi wakati akizindua bodi hiyo katika ofisi za Wizara ya Uchukuzi. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (katikati)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani