WIZARA YA ULINZI YA RUSSIA YATOA JIBU KWA CHOKOCHOKO ZA UTURUKI NDANI YA ARDHI YA SYRIA
Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa, kutoheshimu Uturuki ahadi zake kutotekeleza majukumu yake ndiko kulikosababisha kuzuka mgogoro huko Idlib nchini Syria.Taarifa iliyotolewa mapema leo na Wizara ya Ulinzi ya Russia imeashiria utumaji silaha kwa magaidi walioko katika eneo la Idlib, unaofanywa kutokea Uturuki na kueleza kuwa, hali ya wasiwasi inayoshuhudiwa Idlib imejitokeza baada ya magaidi kushambulia maeneo yaliyoko jirani na mkoa huo wa kaskazini magharibi mwa Syria.Taarifa hiyo...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Vita vya Syria: Serikali ya Syria itajuta kwa kuwashambulia wanajeshi wa Uturuki
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pbK2WEx0ZdM/Xnt0yn-xwhI/AAAAAAALlB4/KyjI8xt9ETkxciN80ezGZo7wXZXV9gKywCLcBGAsYHQ/s72-c/Picha%2B1.jpg)
KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAPITIA MAPENDEKEZO YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/21 KILICHOFANYIKA JIJINI DODOMA LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-pbK2WEx0ZdM/Xnt0yn-xwhI/AAAAAAALlB4/KyjI8xt9ETkxciN80ezGZo7wXZXV9gKywCLcBGAsYHQ/s640/Picha%2B1.jpg)
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Katikati), Katibu Mkuu, Christopher Kadio (Kulia) na Naibu klatibu Mkuu, Ramadhani Kailima (Kushoto) wakizungumza kabla ya kuanza Kikao Cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Wizara hii imewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020/21 katika Kikao kilichofanyika Jijini Dodoma leo.
![](https://1.bp.blogspot.com/-wDvsc-57EWo/Xnt0y8s_BjI/AAAAAAALlCA/hcqW-2O4u5gjJiXyPPUaB3i5B0apD3lcgCLcBGAsYHQ/s640/Picha%2B2.jpg)
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Kushoto), Katibu Mkuu, Christopher Kadio...
10 years ago
MichuziKAMISHNA WA FORODHA NA ULINZI WA MIPAKA WA MAREKANI ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
9 years ago
Michuzi31 Dec
5 years ago
CCM Blog22 Feb
UTURUKI YAKATAA PENDEKEZO LA RUSSIA KUHUSU IDLIB
![Uturuki yakataa pendekezo la Russia kuhusu Idlib](https://media.parstoday.com/image/4bskafaf4bb1c31h9ki_800C450.jpg)
9 years ago
BBCSwahili13 Oct
Marekani yatoa silaha kwa waasi Syria
5 years ago
BBC01 Jun
Russia and Turkey risk turning Libya into another Syria
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ggkCWPef5Jo/VYP8MTFnueI/AAAAAAAHhao/xWnI_mkAZvE/s72-c/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MWAMINI MALEMI AFUNGUA MKUTANO WA WADAU KUHUSU TEKNOLOJIA NA HUDUMA ZA ULINZI WA UMMA JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-ggkCWPef5Jo/VYP8MTFnueI/AAAAAAAHhao/xWnI_mkAZvE/s640/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-XkCIgAhsVVc/VYP8MZZ-A3I/AAAAAAAHhas/rCmaYDJU0tc/s640/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
9 years ago
Dewji Blog22 Sep
Wizara ya Ardhi yawatangazia umma kuwasilisha malalamiko ya mgogoro ya Ardhi mkoa wa Dar
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi.
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA WIZARA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;-
1.TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI;
2.TAREHE...